Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,564
Nimeandika humu mkuu wetu wa majeshi ana ndugu Rwanda upande wa baba yake mzazi. nimejibiwa ni stori za kijiweni. Muda utasema time will tell.Congo lilipo jeshi jwtz walipateka kwa haraka na kuua Askari wane wa jwtz na kujeruhi wengi na mpaka mda huu hawathubutu kujibu mapigo, na kwa nini Asikari waliuawa wakashindwa kuwafukuza waasi ambao mpaka mda huu wanatawala eneo lote walipo jwtz