Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

JWTZ Ipo imara mno

Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!

Naongea by experience in side!!

Mjinga ni Samia na Shishekedi tu kutokidhi mahitaji ya wanajeshi na ushauri wa kitaalamu!!
Lazima umuweke samia Ili roho iridhike,wakati jeshi no la sadc na aliyeamua silaha gani ziende ni mwenye nchi
 
Kagame anaweza kuwatisha watu wengine, lakini Kagame hawezi kuitisha Tanzania, kwamba atapambana nayo achilia mbali kuipiga.

Atakung'utwa asubuhi kweupe, wala Rusumo hatovuka pale.
Kaangalie hotuba yake ya jana.
 
CCM ni Moja, ya sehemu ya matatizo Mengi ya Taifa/Nchi.

CCM wanapaswa wakae kando, Sasa watatokaje kwa Negotiations au Revolution.??? Jawabu analo mtanzania mwenye Ufahamu.

Juzii Mtaani wakati tunapeana michapo ya hapa na pale (siasa, Entertainment, International Affairs, Economics), Muwezeshaji(Mwalimu mstaafu)mmoja anasema yule kagame ni mwanaume wa shoka, alimsifu sana, tukamuuliza vipi Museven Uganda?, akajibu Museven Zee jinga.

Paul kagame Kama Lee Kuan Yew avyojitazama kwa kioo.
 
Wana huo uwezo. Saivi Jeshi la Tanzania limekuwa Jeshi la maonyesho. Ukiwahitaji unawaita tu unawalipa wanakuja kucheza kwata za kimya kimya.

Huwezi kuwekwa mfukoni na CCM alafu ukawa na akili.
Wakati huohuo umewekwa mfukoni na CCM
 
Kwa biti alilowapiga Kagame jana kama wana akili waachane na kuwa majinga ya CCM na waanze kwa kuwakazia kusimamia kweli Katiba CCM waache upuuzi wa kuipeleka Tanzania watakavyo
Kagame ni KIJITI tu, anawatisha migambo wenzake wa Rwanda na wajinga wachache wanaomuabudu.

Akacheze mechi za kitoto huko machakani na waasi wake, akijaribu kuleta fyoko tutamvunja hiyo miguu yake ya mbao, halafu hapo kwenye ikulu yake tunamuweka Lucas Mwashambwa awe kama mkuu wa mkoa wa Rwanda (a regional commissioner with extended jurisdiction).

Kijiti Kagame ni kama sisimizi tu kwa Tanzania.
 
CCM ni Moja, ya sehemu ya matatizo Mengi ya Taifa/Nchi.

CCM wanapaswa wakae kando, Sasa watatokaje kwa Negotiations au Revolution.??? Jawabu analo mtanzania mwenye Ufahamu.

Juzii Mtaani wakati tunapeana michapo ya hapa na pale (siasa, Entertainment, International Affairs, Economics), Muwezeshaji(Mwalimu mstaafu)mmoja anasema yule kagame ni mwanaume wa shoka, alimsifu sana, tukamuuliza vipi Museven Uganda?, akajibu Museven Zee jinga.

Paul kagame Kama Lee Kuan Yew avyojitazama kwa kioo.
Tena kawaambia kilichowapata Bukavu na Goma ni sehemu ndogo sana ya kitakachowapata mkijaribu tena.

Jeshi likishawekwa mfukoni na CCM na Wanasiasa hapo hakuna Jeshi. Ni kituko tu.
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Mkuu wetu wa majeshi ana ndugu Rwanda upande wa baba yake unategemea nini ?
 
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.😩😩😩
Ule ujinga wa kufagia barabara siku tukipanga maandamano ni ushahidi wa kuitumikia ccm, jambo hili halitawasaidia kitu
 
Kwa hiyo wewe ndio wamekuelekeza utuandikie humu JF.
 
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Lakini operesheni ya kijeshi iliyokuwa inafanya kazi DRC ni ya SADC sio ya JWTZ...
 
Back
Top Bottom