Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

Wakuu
Alikiba hapewi sifa anazostahili

Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste

Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na kusema ni album

Alikiba only king ameitendea haki bongo fleva
Tunapata ladha ya mziki wa Tanzania tofauti na hayo ya kinaijeria na amapiano

Kudos kwako king kiba
Tusio na audiomack tucoment wapi
 
Huyu jamaa ni konyo aisee hii album ni
Ukisikiliza ngoma kama sitaki tena unapata ile vibe ya bongo fleva ya zamanii
 
Nikisikiliza ngoma za Naija hua naona wasanii wa bongo wanalazimisha sana kuskiliza muziki wao usikilizwe kwa lazima
 
Nimesikiliza single kadhaa kutoka kwenye album mpya ya Ali kiba. Kwa kweli kafanya vizuri. Nyimbo yangu Bora kwa kweli ni "utu". Ongeza yako Bora tuone.
Yakwangu mimi ni SITAKI TENA!
20211009_184345.jpg
 
Back
Top Bottom