Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

Bd sijapata muda wa kuisikiliza ngoja nikituloa nisikilize
 
View attachment 1966682
When music was music, sidhani kama kutakuwaga na album kama hizi za bongo flavor. Sahivi wote chenga tu

huyu mfalme wetu ndiye anaendelea anajaribu kuweka mziki huu uliokiwepo,asibezwe.

kwenye mziki ukiangalia biashara peke yake unadhurumi mashabiki.
kwa sasa unawezanunua alban nzima ya alikina kama ilivyokuwa kwa daz nundaz au ferous nk na usijute.
 
IMG_7319.jpg
 
ngoma za kawaida sana tena sana za kuchagua yani ndo unapata kama hiyo oya oya sijui nimeangalia video sijamaliza nikaacha. Nyimbo kama gospal hazina vina wala mizani, yani jamaa bila ile sauti kwa sasa ni mweupe sana kwenye utunzi yamebaki mahaba tu huwezi muweka hata na mbosso kwenye utunzi akasimama.
 
mmh ebu nisikilize tena maana naona nipo opposite na vijana. sijui ni umri😂😂😂. salute ndo ngoma tu apo! zingine 😩
 
mmh ebu nisikilize tena maana naona nipo opposite na vijana. sijui ni umri😂😂😂. salute ndo ngoma tu apo! zingine 😩
kwakweli hata mimi najaribu kupata feelings ile wanapata lakini wapi,labda nijipe muda pengine nitakubaliana na maoni yao.
 
Back
Top Bottom