Muda sio mrefu king of music wa Tanzania anaoa lakini kinachonisikitisha ni kweli Aly kiba hajaona Bongo

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Siku zote inajulikana king of music wa bongo hana skendo mbaya anajitahidi sana kuziepuka na sasa king kiba anaoa hivi karibuni
Ameshatoa taarifa kwa watu muhimu muhimu akiwa na mpambe wake ommy dimpoz

Sasa kinachonisikitisha kweli Tanzania nzima hakuna msichana anaejielewa mpaka amehama nchi ameenda kutafuta Kenya
Kweli wasichana wa bongo hapa mmekosa sifa ya kuolewa na king kiba
Hii ni aibu mpaka kijana kama huyu anaenda nje ya nchi kuoa

Dada zetu mjirekebishe jamani au ally kiba kaamua kuwachunia tu
Ay naye nasikia alioa Rwanda huko

Mpunguzeni mapepe wasichana wa Bongo
 
Kinachonisikitisha ni wewe kumuonea wivu,kutamani usiyona uwezo nayo,na mengine meengi utadhani wewe ni KE!nadhani malalamiko hayo tulipaswa andika sie atii
 
kazalisha sana dada zetu wa bongo... kuoa anaenda kuoa kenya...

labda sababu wanawake wa kikenya hawaombi ombi hela kama dada zetu wa kutoa laki 5 awe iphone na ma galaxy huku hana hata genge.. na analia hana mtaji
 
Wabongo wanatangaza njaa hadharani
 
Siku zote inajulikana king of music wa bongo hana skendo mbaya anajitahidi sana kuziepuka na sasa king kiba anaoa hivi karibuni
Ameshatoa taarifa kwa watu muhimu muhimu akiwa na mpambe wake ommy dimpoz

Sasa kinachonisikitisha kweli Tanzania nzima hakuna msichana anaejielewa mpaka amehama nchi ameenda kutafuta Kenya
Kweli wasichana wa bongo hapa mmekosa sifa ya kuolewa na king kiba
Hii ni aibu mpaka kijana kama huyu anaenda nje ya nchi kuoa

Dada zetu mjirekebishe jamani au ally kiba kaamua kuwachunia tu
Ay naye nasikia alioa Rwanda huko

Mpunguzeni mapepe wasichana wa Bongo
Acha bange mbona dada yako mange kaolewa US na mzungu inamaana wanaume wa Tz atueleweki? mapenzo ni upofu upapasa utakapo
 
Nawalilia dada zetu kama kijana wa bongo haoi bongo hili tatizo kwa dada zetu wabadilike
We mbona una hulka za kike wewe? Maongezi ni kama vile kuolewa ni fursa na huoni kwamba ni two way traffic.

Nachokiona ni kwamba unamuadmire jamaa hadi umepitiliza na kusahau jinsia yako. Huamini kwamba inawezekana kabisa huyo King wako alipenda bongo lkn akakataliwa. Yaelekea ungekuwa wa kike, jamaa angekutongoza hapo hapo uliposimama pichu ingeanguka miguuni fasta
 
Back
Top Bottom