Mtoto wa Kishua
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 834
- 154
Sio ulimbukeni ni moja ya ujanja , kuzaliwa USA kuna weza pia kuwa ni kukupa nafasi nyingi zaidi.
mnhhhh.That's why I love the USA! Viva USA.
Aliye lala usimwamshe...mwache aendelee kuliwa na ufisadi wao. Lol
.......😀😀Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta wanatoka nchi za Ulaya kama Uingereza na kuja Marekani kuzalia. WTF?
Wanakaa hadi wanajifungulia huko. Wakishajifungua hao wanarudi zao huko walikotoka. Sielewi kwa nini wanafanya hivyo lakini sababu naijua. Nyinyi wadau mnalionaje hili? Ni jambo jema au ni jambo linaloendeleza ile dhana ya Miafrika na jinsi ilivyo....
siku hizi duniani kuna mambo mengi sana
.......😀😀
ulitaka yuesi ukae peke yako eeh!?
kumbe?....Sio hivyo bana...
yah kuna mshkaji wangu alizaliwa huko na mdingi wake akiwa anapiga mzigo ubalozini jamaa birth certificate ilikuwa ya huko mdingi akarudi bongo kastaafu kazi jamaa hajui km mmarekani mpaka badae sana baada ya kumweleza mamaake kama malengo yake kufanya kazi ulaya mama kampa cheti cha kuzaliwa cha marekani,alipoenda kufatilia paspoti akaambiwa aende ubalozi wa marekani na kweli alipoenda kule wakampa mkoba wa mwewe,aisee jamaa toka alipotokomea huko sikumuona arudi bongo mpaka mi naondoka,kwa hiyo naona wamama hao masista du wenye nazo washashtukia hiyo dili ndio maana wakiona mimba miezi saba wanakula pipa hadi u.s.a kujifungua si unajua tena.Sio ulimbukeni ni moja ya ujanja , kuzaliwa USA kuna weza pia kuwa ni kukupa nafasi nyingi zaidi.
tunaomba utafute kwanza maana ya ulimbukeni then ndipo utoe malalamiko yako heheeeee ee heheeee maana hujaeleweka umekataa nini? na unakubali nini,sio ilimbukeni! Watanzania tatizo letu tumelalia masikio, wenzenu Wanageria mbona hivi vitu vya kawaida.
KWA KUFUPI NI KWAMBA, UKIZAA MTOTO USA, HATA KAMA WEWE MAMA WA MTOTO SINA RAIA WA USA MTOTO ANAONDOKA NA PASSPORT YAKE YA KIMAREKANI, MPO HAPO! MTOTO AKIFIKA 18 HE/SHE CAN GO BACK TO THE STATES NA KUENDELEZA LIBENEKA!
ANCHENI KULALA NA KUULIZA MASWALI YA SIO NA KICHWA WALA MKIA,
Ulimbukeni unawasumbua!