Kuzalia Marekani

Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta wanatoka nchi za Ulaya kama Uingereza na kuja Marekani kuzalia. WTF?

Wanakaa hadi wanajifungulia huko. Wakishajifungua hao wanarudi zao huko walikotoka. Sielewi kwa nini wanafanya hivyo lakini sababu naijua. Nyinyi wadau mnalionaje hili? Ni jambo jema au ni jambo linaloendeleza ile dhana ya Miafrika na jinsi ilivyo....
wewe kweli Nyani
 
Hebu tupe statistics tafadhali...tunataka a scietific research sio kuona watu wawili ama watatu wamefanya hivyo basi unajererolaizi.

Kwa kifupi Nyani Ngabu anaelezea kitu ya ukweli kabisa na wala sio siri maana kuna mmoja nilimshuhudia kwa macho yangu na alifikia nyumba ninayokaa, Haikuchukua muda hata wa wiki 3 akajifungua na baada ya wiki nyingine 5 akasepa zake Bongo... Wapo wengi mnoooo wanaofanya huo mchezo haswa wapopo ndio noma zaidi
 
Hii thread ya kitambo lakini people are still doing it. Niliona news couple of months ago chinese wanafanya the same thing.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ilikuwepo tangu zamani tulivyokuwa vipofu..lakini sasa tumeamka kumbe ni utumwa mtupu!
 
Back
Top Bottom