Kuzalia Marekani

Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta wanatoka nchi za Ulaya kama Uingereza na kuja Marekani kuzalia. WTF?

Wanakaa hadi wanajifungulia huko. Wakishajifungua hao wanarudi zao huko walikotoka. Sielewi kwa nini wanafanya hivyo lakini sababu naijua. Nyinyi wadau mnalionaje hili? Ni jambo jema au ni jambo linaloendeleza ile dhana ya Miafrika na jinsi ilivyo....
Kwa Afrika nadhan wanaijeria ndo vinara
 
Back
Top Bottom