Kuwa introvert ni tabu sana!

karibu wachache ndo wanaweza kuelewa...
 
sema wewe huwezi my dear!
I for one, niko na shughuli kibao za kufanya mwneywe bila uhitaji wa communication virtually.
Na nina bundle unlimited mwezi mzima hata sililipii kwanza kwamba nione linaisha na linaishi nikiwa sijamaliza.
 
KUANZIA 3 ni sawa kabisa, kwenye uoga sio kweli. Most of us tuko so calucating! So mara nyingi hii huchukuliwa ni uaoga, wakati we unafikiria kupambana sisi tunawaza hivi nisipopambana si yatakuwa yameisha na sitapayuka sauti na sitaleta watu wengi waje, kwani nikimuachia itakuwaje?
 
Wewe kweli ni Mzoefu sifa nyingi ulizoorodhesha wanazo
 
Nawapenda watu wa hivi, wakitaka kukaa ndani nakaa nao tunajifungia hadi raha wenyewe, comment yangu isiguswe nina kazi za kufanya sitaki makwazo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…