Kuvaa vibaya na ukimwi

Achana nayo kafanye mishe nyingine tuuu
 
Jiamini mkuu
 
Mda ukifika utapata ujasiri tu mkuu
 
@Mother Confessor upo mpendwa? Nimekumiss
 
Tena bora hata usijiamini maana unaweza jiamini lakini majibu yakakutoa barabarani hapo ndio.tabu inaanza

Mimi huwa naona kama garage tu kupeleka gari na mechanic ukamwambia angalia kila kitu kama kuna hitilafu
Sasa mimi kila mwaka huwa nafanya checkups kila kitu kuanzia pressure,kisukari, tezi dume, hiv na hata cancer
Huwezi kujua bila kupima
Usiogope
 
Usisahau meno na macho

Dah! Mademu wasiopenda kutumia Ndoms, ndiyo wananipeleka kwenye vipimo.
 
Mimi huwa naona kama garage tu kupeleka gari na mechanic ukamwambia angalia kila kitu kama kuna hitilafu
Sasa mimi kila mwaka huwa nafanya checkups kila kitu kuanzia pressure,kisukari, tezi dume, hiv na hata cancer
Huwezi kujua bila kupima
Usiogope

Utakipata unacho kitafuta
 
Utakipata unacho kitafuta

Magonjwa hayaepukiki kwa viumbe ila sio ya kutafuta na hilo labda unidunge sindano
Maana lolote linawezekana
Halafu uniambie hicho nakitafuta ni nini?
I am happily married and I don’t &£”@ around
 
Ilà majibu yalikuja vizuri si eti! Hilo ndio jambo la msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…