Kuvaa vibaya na ukimwi

Kwanza wanawake hawapendani...ukute hajawaka wala nn!!
 
Jiweke na wewe uungue
 
Vitu vingine hata havihitaji ushauri ni kiasi cha kujiongeza tu.
 
Tumia TACAIDS au hujui matumizi yake
 
Wakuu habar zenu, ngja niende direct kwa Topic.Wakuu mimi kila nikiplan kupima UKIMWI huwa naishiwa kabisa nguvu ya kwenda kupima inshort siwez kwenda kupima. Ila sasa kuna watu huwa wanakwenda kupima kwa moyo mweupe hapa ndo najiuliza huu ujasir wanautoa wapi?? Binafsi nmeshindwa kabisaa nyie mnaoenda kwa hiari yenu mtupe mbinu bhasi mnazotumia ili na sisi wengine humu Jf tukapime UKIMWI....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…