Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.
Ka!
 
TISS ni hovyo tuu. Wanafanikiwa kupata taarifa kwasababu watanzania wote ni wambea.
Bongo TISS wanahangaika na upinzani tu. wakati tuna wanyarwanda kibao wapo kwenye nafasi nyeti hapa nchini
 
Wengine wapewe kazi nzuri wewe upewe kazi ya kuua tu loo kazi gani hiyo [emoji2303][emoji2303][emoji2303]
 
Magoti!! Uyu jamaa tuliwahi kukutana kwenye mission fulani!! Ndio nilipogundua uyu jamaa ana roho mbaya sana!!! Ni mtu mwenye jeuri na kiburi sana!! MUNGU ametuumba tofauti.
 
Hata nae alikuwa ni mnufaika angepigwa nyumba Kama tatu hivi za ustaafu angeufyata Kama mzee mwinyi.
Weupe ndo wenye uwezo wa kuacha maslai yao binafsi kwa faida ya jamii na sio mwafrika.
Mwafrika hawezi acha shibe yake akutee wewe
Viongozi karibu wote wa ki Afrika leo wana element za u primitive. Kwao kuomba kura ni kuopata ridhaa ya wengi kutunisha mifuko yao, ingawa hilo halisemwi wakati wa kuomba kura.
FB_IMG_16049172280493804.jpeg
 
Usichokijua sawa na usiku wa kiza...
Sijui. Kama kawa tiss baada ya chuo nakubali. Hapana. Jifunze logic. Logically ni kwamba nimeishi naye muda mkubwa kiasi kwamba angekua basi hata a tiny shred ingeonekana.

Anyway, huyu jamaa alikua ana tatizo fulani hivi ni personal mno hiyo ishu siwezi kuitaja as ni faragha yake.

Kama ingekua duties zinamtaka awe pale chuo hilo tatizo hata lisingetakiwa kutokea.

Aliyemsaidia Magoti alikua katibu (naye alikua mwanafunzi pia) wa mbunge mmoja wa jimbo moja la Kaskazini huko.

Now niambie ni TISS gani atapata tatizo la kuhatarisha mishen halafu msaada aje kugewa na mtu mwingine kabisa?
 
Unamuua mwenzio wewe utaishi milele? laana za nini kwa watoto na wajukuu zako?
Kudhulumu wenzio haki zao, kuwabambikia kesi, uonevu uliokithiri na dhulumu ya wazi!
Kudhulumu 'haki za Wa Tz' kwa kuwanyima haki zao na kuamua utakavyo wewe!
 
Back
Top Bottom