Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Watu mna data kama CPU. 🤣🤣🤣🤣🤣😎😎😎😎
 
Yupo kama msukule so anaishi town kwa kazi ya kuwasafirisha wengine kwenda sayari ya mars
 
if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.
Akizaliwa mti dawa yake ni kumchana mbao na hizo mbao kwenda kujengea septic tank akakae na kinyesi huko
 
if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.
Au akazaliwa Jiwe
 
Recruitment starts from school, chuo, mtaani, makazini, majeshini. na kuna wale wapo recruited na Watu flan kwa kazi maalumu na hawafamiki hata na DG

(HUKO MBELE WANAITWA "BLACK OPS") hawa wanaweza hata kumuondoa TISS na asijue tukio limefanywa na nani
TISS ni hovyo tuu. Wanafanikiwa kupata taarifa kwasababu watanzania wote ni wambea.
 
Back
Top Bottom