Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Tangu naanza kuandika nilisema naamini siyo kwakua kuna ishu ilitokea ambayo ilihatarisha uwepo wake chuoni. Ishu iliyomkuta ni private.

So tangu ulivyokua unaanza kuniquote ulitakiwa uone nimesema ishu yake ni private. Kama unamjua mtafute akwambie.
Hiyo issue huenda ilikuwa mission
 
Magoti awe TiSS? Hahaha labda kawa TISS baada ya kupata kazi kwa Polepole.
Kwa nini asiwe? Kwa sababu ulisoma naye? Wewe uliosoma nao hawawezi kuwa TISS? Kwani kuwa TISS mtu lazima awe na rangi nyekundu? Au mtu kuwa TISS lazima awe si yule aliyesoma naye wewe?
Yaani uko negative sana. Yaani wewe ulivyo, ikitokea hata mdogo wako wa kuzaliwa tumbo moja anahitajika na wa-tanzania wote awe Rais wa JMT, wewe utampinga! I hate negative people, hatari sana watu wa namna hii. I'm talking from experience
 
Duuh ,nimemkumbuka Mzee BM.

Angekuwepo sidhania kama angekaa kimya tuu bila kusema Chochote.

Wenzake waliobaki wanakaa kimya kutokana na mgongano wa kimaslahi .

Huyu mkewe na mtoto wanatafuta Ubunge na wamepata na huyu ana watoto wanatafuta Ubunge na Urais na wamepata. Sasa watasema nini tena.

Wanashida gani wakati wao wanawaambiwa Watanzania Mtapata maendeleo Miaka 50 ijayo kwa wajukuu zenu kuchapa kazi huko mashambani na kufanya vibarua kwenye mikonge na kusafisha mabarabara na kukata tiketi za ndege, huku watawala wao wakiwatafutia wajukuu zao mapesa na Mali kila sehemu ya Dunia hii mpaka wale ambao hawajazaliwa ili wakizaliwa wazikute zipo zinawasubiri na Chama chao kitawalinda.
Mnavyolaumu huu uchaguzi utafikiri hizo chaguzi zilizopita zilikuwa za haki na uwazi,miaka yote tunalalamika kuhusu ccm kutumia dola kung'ang'ania kubaki maarakani na hao wazee wote wakiwepo pamoja na huyo marehemu. Hata huu uchaguzi ni kazi ya ccm hiyo.
 
Kwa nini asiwe? Kwa sababu ulisoma naye? Wewe uliosoma nao hawawezi kuwa TISS? Kwani kuwa TISS mtu lazima awe na rangi nyekundu? Au mtu kuwa TISS lazima awe si yule aliyesoma naye wewe?
Yaani uko negative sana. Yaani wewe ulivyo, ikitokea hata mdogo wako wa kuzaliwa tumbo moja anahitajika na wa-tanzania wote awe Rais wa JMT, wewe utampinga! I hate negative people, hatari sana watu wa namna hii. I'm talking from experience
Bro your past experience haitakiwi kukufanya emotional kiasi hiki.

Jifunze
 
Sijajua lengo lako ni lipi kuleta picha ya mtu kutaka kumfahamu huku wewe mwenyewe ukiwa haufahamiki.

Hii inatoa mwanya wa kila mtu kuandika ubaya au uzuri na vile tuna bahati mbaya ya watu kupenda kuamini mambo mabaya basi unakuta mtu anachafuliwa.

Naona ni kama una nia ovu kwani hiyo pic uliyoweka ndio huyo ndugu ameiweka kwenye profile pic yake ya WhatsApp. Itoshe kusema kuwa huyo ndugu ni mwanaccm hai na ni mmoja wa watumishi wa chama tena mtumishi mwaminifu, hodari na mchapakazi. Tafadhali sana, aachwe aishi maisha yake binafsi.
Modulators nashauri wau-block uzi huu, kwa sababu uanongelea mtu binafsi na unasababisha ashambuliwe na watu ambao hawezi kujibu mashambulizi yao. Anaonewa
 
Hata nae alikuwa ni mnufaika angepigwa nyumba Kama tatu hivi za ustaafu angeufyata Kama mzee mwinyi.
Weupe ndo wenye uwezo wa kuacha maslai yao binafsi kwa faida ya jamii na sio mwafrika.
Mwafrika hawezi acha shibe yake akutee wewe
Tabia za watu ndio ziko hivyo hivyo hakuna cha weupe wala kijani.
 
if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.
Duh si mchezo
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Ila na jamaa fulani hivi yupo kwenye kamati ya roho mbaya...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom