residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,016
- 14,525
Baada ya kuguswa naona umekurupuka bwana novichok.Ni lazima uwe na cheo ndio upige picha na Magufuli?
Baada ya kuguswa naona umekurupuka bwana novichok.Ni lazima uwe na cheo ndio upige picha na Magufuli?
Recruitment starts from school, chuo, mtaani, makazini, majeshini. na kuna wale wapo recruited na Watu flan kwa kazi maalumu na hawafamiki hata na DGMagoti awe TiSS? Hahaha labda kawa TISS baada ya kupata kazi kwa Polepole.
Nilisoma naye huyu jamaa. Ni CCM tangu chuo baada ya chuo akaenda kua katibu wa Polepole.
Nafikiri bado ni katibu wa Polepole.
La kuwa personal tu linaonyesha kitu flani ila tu jua ivyo CV ya kuwa huko lazima uwe UVCCMSijui. Kama kawa tiss baada ya chuo nakubali. Hapana. Jifunze logic. Logically ni kwamba nimeishi naye muda mkubwa kiasi kwamba angekua basi hata a tiny shred ingeonekana.
Anyway, huyu jamaa alikua ana tatizo fulani hivi ni personal mno hiyo ishu siwezi kuitaja as ni faragha yake.
Kama ingekua duties zinamtaka awe pale chuo hilo tatizo hata lisingetakiwa kutokea.
Aliyemsaidia Magoti alikua katibu (naye alikua mwanafunzi pia) wa mbunge mmoja wa jimbo moja la Kaskazini huko.
Now niambie ni TISS gani atapata tatizo la kuhatarisha mishen halafu msaada aje kugewa na mtu mwingine kabisa?
Acha tu comrade jauNauliza tu na mie... hivi kwanini chama hiki kina "katuni mtu" wengi? Achilia mbali wavuta ganja na....
Sijui. Kama kawa tiss baada ya chuo nakubali. Hapana. Jifunze logic. Logically ni kwamba nimeishi naye muda mkubwa kiasi kwamba angekua basi hata a tiny shred ingeonekana.
Anyway, huyu jamaa alikua ana tatizo fulani hivi ni personal mno hiyo ishu siwezi kuitaja as ni faragha yake.
Kama ingekua duties zinamtaka awe pale chuo hilo tatizo hata lisingetakiwa kutokea.
Aliyemsaidia Magoti alikua katibu (naye alikua mwanafunzi pia) wa mbunge mmoja wa jimbo moja la Kaskazini huko.
Now niambie ni TISS gani atapata tatizo la kuhatarisha mishen halafu msaada aje kugewa na mtu mwingine kabisa?
Utakuwa umemzimikia, sasa hauna muelekeo ruzuku imekata, bibie pole sana.
huyo mtu mwingine unamjua cheo chake?unajuaje kama sio TISS pia?mkuu tofautisha TISS officials na wale undercover. undercover hawana alama na wanafanya kila jitihada asibainike. Halafu hata akipata tatizo sio kwamba linasoviwa automatic kama computer. Kuna hatua za kupitia ili kumnasuaSijui. Kama kawa tiss baada ya chuo nakubali. Hapana. Jifunze logic. Logically ni kwamba nimeishi naye muda mkubwa kiasi kwamba angekua basi hata a tiny shred ingeonekana.
Anyway, huyu jamaa alikua ana tatizo fulani hivi ni personal mno hiyo ishu siwezi kuitaja as ni faragha yake.
Kama ingekua duties zinamtaka awe pale chuo hilo tatizo hata lisingetakiwa kutokea.
Aliyemsaidia Magoti alikua katibu (naye alikua mwanafunzi pia) wa mbunge mmoja wa jimbo moja la Kaskazini huko.
Now niambie ni TISS gani atapata tatizo la kuhatarisha mishen halafu msaada aje kugewa na mtu mwingine kabisa?
Shida ni kwamba haujajua tatizo lenyewe.huyo mtu mwingine unamjua cheo chake?unajuaje kama sio TISS pia?mkuu tofautisha TISS officials na wale undercover. undercover hawana alama na wanafanya kila jitihada asibainike. Halafu hata akipata tatizo sio kwamba linasoviwa automatic kama computer. Kuna hatua za kupitia ili kumnasua
unataka tujadili kitu tusichokijua? Umenikumbusha wimbo mmoja wa Zouk unaitwa SIRI..msaani anasema yaliyomkuta ni Siri hawezi kusema.nikajiuliza alituimbia ili iwejeShida ni kwamba haujajua tatizo lenyewe.
Mbunge mtarajiwa wa jimbo la Hai na mpiga mizinga mashuhuri mjengoni.Ni bro ake na huyu.View attachment 1618322
Huyu ndo mchawi yaani mshika hirizi wake.
Sijajua lengo lako ni lipi kuleta picha ya mtu kutaka kumfahamu huku wewe mwenyewe ukiwa haufahamiki.
Huyu mkulungwa anaskilizia utamu flani au anasinzia?[emoji23][emoji23]Ni bro ake na huyu.View attachment 1618322
Nimecheka sana mkuu ila yote kwa yote hako kajamaa ni kagonjwa kwahiyo hakawezi kuwa TISS vinginevyo lbd ugonjwa isiwe disqualification za TISS. Ni kabishi sana hako kajamaaMagoti awe TiSS? Hahaha labda kawa TISS baada ya kupata kazi kwa Polepole.
Nilisoma naye huyu jamaa. Ni CCM tangu chuo baada ya chuo akaenda kua katibu wa Polepole.
Nafikiri bado ni katibu wa Polepole.
Basi mshikaji ana roho ya uharibifu.Hako kajamaa kachawi sana, kuna project flani tuliwahi kupata ikawa ishapita kabisa hadi mabosi wa wizara wakawa wamekuja kufungua training ila kesho yake huyo magoti akawa amekuja akijifanya mmoja wetu cha ajabu muda wote anapiga stori na mabosi kutoka juu siku iliyofuata tukaambiwa project imesimama hadi hapo baadae ila kuja kufuatilia ni huyo magoti na uvcccm wengine waliokuwa wamepenyezwa ndo walienda kuchoma kuwa mradi umeshikwa na mamruki.
Tangu naanza kuandika nilisema naamini siyo kwakua kuna ishu ilitokea ambayo ilihatarisha uwepo wake chuoni. Ishu iliyomkuta ni private.unataka tujadili kitu tusichokijua? Umenikumbusha wimbo mmoja wa Zouk unaitwa SIRI..msaani anasema yaliyomkuta ni Siri hawezi kusema.nikajiuliza alituimbia ili iweje
Tena ubishi wake ni mnapofikia kujadili siasa za Tz.Nimecheka sana mkuu ila yote kwa yote hako kajamaa ni kagonjwa kwahiyo hakawezi kuwa TISS vinginevyo lbd ugonjwa isiwe disqualification za TISS. Ni kabishi sana hako kajamaa
TISS sio jeshi bro uyu anaweza kuwa uko unaambiwa hadi machoko wapo unazani mchezoNimecheka sana mkuu ila yote kwa yote hako kajamaa ni kagonjwa kwahiyo hakawezi kuwa TISS vinginevyo lbd ugonjwa isiwe disqualification za TISS. Ni kabishi sana hako kajamaa