Kutoka Shelisheli 310 hadi Malaysia 311 - Kikwete

Che-lee

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
318
88
Yule Sharobaro mpangaji wetu wa Magogoni ambae halipikodi, anazidi kuchanja mbuga leo hii 19/6/2011 anatimiza safari ya 311 nje ya TANZANIA atakuwa Malaysia. Hiyo ni record ya juu zaidi dunia!
 
Rais mjanja sana huyu make alisema maendeleo ya watanzania yatatokana na bidii zake za kuhemea kwa mabwana kubwa. Si ajabu haelewi kwa nini TZ ni maskini make anahemea lakini hamtosheki. Na jukumu la maendeleo ya nchi amewakabidhi wawekezaji.

Mwekezaji akija mnafanya taratibu haraka, anawekeza; mnaendelea!:der:
:der:(hotuba yake akitangaza mpango mpya wa maendeleo)
 
TEH! teh! INAWEZEKANA ANAFANYA MATANGAZO YA KAMPUNI MBALIMBALI ZA NDEGE NA ANALIPWA NA MAKAMPUNI HAYO NA HATUMII KODI ZETU!!
 
TEH! teh! INAWEZEKANA ANAFANYA MATANGAZO YA KAMPUNI MBALIMBALI ZA NDEGE NA ANALIPWA NA MAKAMPUNI HAYO NA HATUMII KODI ZETU!!

Kote huko anasafiri na Gulfstream aliyonunua Mkapa!! Lakini mbona mkewe anamwacha Bongo?
 
Ina maana bado siku 54 atimize mwaka mzima nje ya nchi? Is this real?
 
Ina maana bado siku 54 atimize mwaka mzima nje ya nchi? Is this real?
Kasha timiza, hii ni safari 310 lakini anaweza kukaa siku 3 au nne ndio arejee hakuna mahali anaweza kwenda na kurudi labda east africa
 
Ila safari zake naona sasa zinazaa matunda! Mitambo yake ya Richmond ilimdodea sana, kwanza alimpata al alawi(Dowans) biashara ikawa mbovu,sasa kampata mbia wake mwingine wa kimarekani bw Hinks(Syimbion)
 
Mnamsingizia bana! safari ya 310??
Hapana miye siamini kama president anaweza akafanya safari zote hizo.
 
Ina maana bado siku 54 atimize mwaka mzima nje ya nchi? Is this real?

Akitimiza mwaka basi inabidi tufanye Happy Birthday siku hiyo atakopo rudi kutoka kuhemea na kumpongeza kuwa ametimiza mwaka 1 kwa kuwa ombaomba wa kimataifa. Safari zake zinashinda hata za Waziri wa mambo ya Nje
 
Idadi ya safari alizofanya nje inazidi kwa mbali sana hata idadi ya safari alizofanya mikoa yake aliyoitembelea.
 
Back
Top Bottom