Kutoka Shelisheli 310 hadi Malaysia 311 - Kikwete

Ila safari zake naona sasa zinazaa matunda! Mitambo yake ya Richmond ilimdodea sana, kwanza alimpata al alawi(Dowans) biashara ikawa mbovu,sasa kampata mbia wake mwingine wa kimarekani bw Hinks(Syimbion)

Matunda ndio huu mgao unatusumbua hapa Arusha au?
 
Sina hakika na hiyo namba 310! Maana ukichukua wastani wa kukaa kuwa ni siku 4 utapata jumla ya siku za kuwa nje ya nchi ni 1240. Ukigawa kwa siku 365 na robo, utapata miaka mi3 na siku kama 140 hivi. Maana yake ni kwamba tangu aingie madarakani hadi sasa, muda mwingi kautumia nje ya nchi? Hapo ndo nnapotaka kujua.
 
Anahudhuria vikao vya Illuminati wenzake alipanda cheo sana kwenye ulimwengu wa giza alipouza nafsi yake na familia yake, na kuna freemasons wengi humu hupenda kumsifia sana. Mtu yeyote anayemsifia Kikwete kuna mawili aidha ni mbumbumbu hajui kinachoendelea au la ni freemasons and the like. Kikwete ni wakala wa shetani.
 
Akitimiza mwaka basi inabidi tufanye Happy Birthday siku hiyo atakopo rudi kutoka kuhemea na kumpongeza kuwa ametimiza mwaka 1 kwa kuwa ombaomba wa kimataifa. Safari zake zinashinda hata za Waziri wa mambo ya Nje

Kwani nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje aliachana nayo, bado ni waziri wa mambo ya nje. BM ni naibu!
 
Kikwete ni Dalali wa wazungu and he is a slave yeye anaona kama Wamerikani na wazungu wanampenda but the opposite they are using him to get what they want cause the guy is so cheap and incompetent.
 
Mnamsingizia bana! safari ya 310??Hapana miye siamini kama president anaweza akafanya safari zote hizo.
Kwanini tumsingizie? Marais wangapi wamepita hatukuwasingizia? Record zipo tutazimwagi siku akitimiza miaka kumi ya ufanya biashara magogoni! Tutamuandalia sherehe na kumkabidhi cheti cha kutambua mchango wake ktk kuvunja records ambapo inatarajiwa atafikisha safari 700 kama hatazembea!
 
Nimefuatilia ni rais mpenda sifa zaidi dunia ambae kila ikipatikana nafasi ya kutokea mbele za wa basi huitumia bila kujali kama watazamaji na wasikilizaji wamemchoka au laa! Ni rais asiyesoma alama za nyakati!
 
Mwacheni asafiri tu kwani hata akiwepo nchini anafanya nini? Hana umuhimu wowote huyo, ahamie huko huko. We don't need him!
 
Back
Top Bottom