Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,312
Mashtaka sasa ni ya kudhuru mwili sasa inarudi Mahakama ya Igunga
asante Eliza,je wamepata dhamana?
Mashtaka sasa ni ya kudhuru mwili sasa inarudi Mahakama ya Igunga
Mashtaka sasa ni ya kudhuru mwili sasa inarudi Mahakama ya Igunga
Hakimu wa Wilaya ndiye atatoa dhamana
Shtaka la ugaidi limefutwa
Mashtaka sasa ni ya kudhuru mwili sasa inarudi Mahakama ya Igunga
Tusiwe majaji wakati kila kitu leo kitaeleweka.
nafikiri watu wa Lumbumba wako miongoni mwa hawa guest hapa
There are currently 373 users browsing this thread. (87 members and 286 guests)
asante Eliza,je wamepata dhamana?
Kuna jamaa kanitonya hapa kwa sms, anasema Lumumba vipakatwa viko busy lakini wote wanachungulia kama Guest, mwingine kutoka jumba kuu naye anasema Ust anakazia swaum yake huku akiwa anachungulia kama guest, hali ni hiyohiyo kutoka kwa neppe na savimbi yule mwenye laana ya vijana kwenye mitandao.
Wale wane walifutiwa hiyo kesi ndiyo wakakamatwa tena wakafunguliwa hii ya ugaidi sasa itakuwaje..
HIVI CCM HAWAONA KAMA NCHEMBA ANAWAAIBISHA SANA KWA HIZI KESI ZAO,its time now wampige chini?-Mwigulu ataandika katika dairy yake hajawahi kushinda kesi hata moja aliyoisimamia kwa fedha za wavuja jasho,this dude should be cursedWatuhumiwa ambao ni makada wa CHADEMA wameshawasili wakiongozwa na Henry Kilewo na wenzake.mawakili wa pande zote nao wapo. Jaji ndo anasubiriwa
yale yale kama kwa kamanda lwaka. nyie magamba ugaidi sio mchezo. mkome sasa.Mashtaka sasa ni ya kudhuru mwili sasa inarudi Mahakama ya Igunga