Kutoka mahakama kuu Tabora Live

Kutoka mahakama kuu Tabora Live

Status
Not open for further replies.
Huyu jaji mjinga sana,anazunguka point,yeye aseme tu wako huru kuliko kutupotezea wakati.

Kuwa mpole acha haraka, kutafuta, kuipata na kuionyesha haki huwa kuna hitaji subira. Mwenye subira yu pamoja na mwenyezi Mungu. Usiniulize asiye na subra yu pamoja na nani?! Hahaha.
 
Anaongeza kusema kwamba nk vizuri kabla hawajapeleka mashtaka. Anasema siyo kila kinachotokea wakimbilie kwenye ugaidi. Anasema ni vizuri wajikite kujifunza namna ya kuandaa au kutengeneza hati za mashtaka. Anataja vifungu vinavyofafanua hati hizo za mashtaka.
Jaji anaendea

anawapa somo, hivi ofisi ya DPP inawasomi waliofuzu ama wanafanya kusudi
 
I can see the light at the end of the tunnel.
 
Huyu jaji mjinga sana,anazunguka point,yeye aseme tu wako huru kuliko kutupotezea wakati.

Hii sio kesi ya kuiba kuku kaka.........utaniambia hukumu ina pages ngapi baadae......and relax Mr Justice is around the corner!
 
Kuna haja ya kufungua kesi ya kudai fidia , ili watu wajinga waache ujinga wa kubambikia watu kesi za ugaidi na kuwafanya wasote Rumande muda mrefu sana bila sababu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom