Kutoka mahakama kuu Tabora Live

Kutoka mahakama kuu Tabora Live

Status
Not open for further replies.
Leo mke wa Henry Kilewo Joyce Kiria amevaa Kombati za kaki. Yupo mahakamani na wake wa watuhumiwa wengine
 
Leo ndio fate ya Kamanda Kilewo na wenzake. Tunamuomba Mwenyezi Mungu Jaji afanye maamuzi ya haki kuwafutia mashtaka ya ugaidi

Maamuzi yoyote yatakayotolewa itakuwa ni mipango ya mungu kwani mpaka sasa ni yeye pekee anayejua nini kitatokea.
 
Mwigullu anawakomaza?
New id,we huoni kama kesi anazoanzisha hazina kichwa wala miguu kwa kuwatumia polisi wasio waadilifu ndo maana cdm at the end inashinda na anakua amefanya promotion na dhahiri kua inaonewa chadema!!
 
sibanduki kwenye pc yangu hadi nijue hukumu itakuwa vipi?
 
Jaji ameingia mwendesha mashtaka kashataja kesi
 
Wakili wa serikali amesisi abasema kwamba hii kesi imekuja kwa ajili ya uamuzi na kwamba wao wapo tayari kwa uamuzi. Pia wakili wa utetezi kasema wapo tayari kwA uamuzi. Jaji kasema sawa
 
Wakili wa serikali amesisi abasema kwamba hii kesi imekuja kwa ajili ya uamuzi na kwamba wao wapo tayari kwa uamuzi. Pia wakili wa utetezi kasema wapo tayari kwA uamuzi. Jaji kasema sawa
Mkuu tupo pamoja
 
Jaji anasema hatasoma neno kwa neno isipokuwa atasema yale ya msingi. Na kama kuna mtu anataka kupitia atapata fursa
 
haki itapatikana na kishindo chake kitasambaa TANZANIA NZIMA, SHIME MAKAMANDA ADUI YETU HANA PAKUSHIKA.
 
Hakika leo tunaweza kuandika nyingine Tanzania.
 
Ombi la kwanza ni uhalali wa mashtaka. Ombi la pili ni utatatibu uliofanyika kuwatia hatiani. Ombi la tatu uamuzi wa mshakama ya hakim mkazi ulishindwa kufanyia uamuzi. Ombi la nne kufutilia mbali shitaka kwa kuwa halina baraka za Dpp.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom