Kutoka mahakama kuu Tabora Live

Kutoka mahakama kuu Tabora Live

Status
Not open for further replies.
Namkumbuka yule mhadhiri wa chuo kikuu kwenye ule mdahalo wa mustakabali wa amani ya Tanzania kwa miaka 50 ijayo.

Alisema "... Namshangaa Mwigulu amekuwa yeye ndiye muendesha mashtaka (dpp) na yeye ndiye rpc"

ndugu mtoi, huyu bwana nchemba, ni kilaza yeye na ccm yake mwisho wao umefika,kili wanalolipanga mungu analipangua, wewe ndugu mtoi, unafikiri mwenyezi mungu haoni mateso ya watanzania maskini wanao dhulumiwa rathili mali zao na wakina nchemba na ccm yao? hakika kilio cha watanzania kimemfikia mungu na mungu ameisha ikataa ccm ndio maana kila mipango yao inashindwa vibaya,,,,siku zote giza hali wezi kuishinda nuru,
 
CCM ni chama cha watu waliochoka Kimuonekano, hutarajii watakuwa na jipya, wanabebwa na polisi ambao nao hawajui hata walitendalo !
wanatumia gharama kubwa sana kwa upumbavu wa aina hii

1014423_588430331201914_1454476242_n.jpg
 
CCM ni chama cha watu waliochoka Kimuonekano, hutarajii watakuwa na jipya, wanabebwa na polisi ambao nao hawajui hata walitendalo !
wanatumia gharama kubwa sana kwa upumbavu wa aina hii

1014423_588430331201914_1454476242_n.jpg

naona ka bibi kako fulu gamba alafu, maskini hakajui kanamshabikia [jambazi] wa rasilimali zetu,maskini wazee kama hawa tusi wa nyanyapae wanatakiwa wapelekewe injili ya ukombozi,
 
Mwigulu Nchemba jamani basi kama ushahidi wa duniani umeshindikana si aende tu Mbinguni nako akajaribu?
 
Nasikia kimeshanuka mwigulu nchemba na genge lake chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mfalme wa Amani, Kristo Bwana Wetu, daima yuko imara.

Kuna jambo linaloshindikana kwa Mungu? Nawaulizeni waungwana mnieleze.
 
DPP, DCI na IGP feki Mwigulu Nchemba atapata wapi ushahidi mwingine wa duniani na mbinguni? Maana kila ugaidi anaoubuni kuangamiza CHADEMA unakataliwa na majaji. Tusubiri labda atatengeneza movie nyingine kwa kuwa ndo kipaji chake na ndo kula kwake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom