taffu69
JF-Expert Member
- Feb 26, 2007
- 2,094
- 541
Tunarudi Igunga wilayani
Samahani, hilo zoezi linafanyika leo ama siku nyingine...
Tunarudi Igunga wilayani
hii thread ina 95 members and 339 guests browsing this thread kweli nimeamini JF ni kama maji usipoyanywa utayaogaWatuhumiwa ambao ni makada wa CHADEMA wameshawasili wakiongozwa na Henry Kilewo na wenzake.mawakili wa pande zote nao wapo. Jaji ndo anasubiriwa
Be blessed kamanda Elizabeth Dominic hakika giza haliwezi shinda NURU hata siku moja.....Tunarudi Igunga wilayani
Jaji amesema haoni nia ya ugaidi katika shtaka hili na ameliondoa
Samahani, hilo zoezi linafanyika leo ama siku nyingine...
mkuu, hao 339 miongoni mwoa wamo kina savimbi mwigulu, nepi, mr f..ck you etal.hii thread ina 95 members and 339 guests browsing this thread kweli nimeamini JF ni kama maji usipoyanywa utayaoga
Ngoja tumsikilize wakili msomi Peter Kibatala
mkuu, hao 339 miongoni mwoa wamo kina savimbi mwigulu, nepi, mr f..ck you etal.
mkuu, hao 339 miongoni mwoa wamo kina savimbi mwigulu, nepi, mr f..ck you etal.