Mkuu heshima mbele, marekebisho kidogo, si unajua zamani nilikuwa DJ yaani mzee wa mic na kukwaruza santuri, hii ngoma originally ilipigwa na Sam Mangwana, with a guest star Franco Makiadi.
Kashikwaje pabaya!mmeshaambiwa kilikuwa kinatafutwa kiti!Hapa dawa ni kuachana na haya mambo na kuendelea kuchapa kazi!haya wewe evidence zako zipo wapi?zaidi ya maneno?
Jamani hivi kweli muda unaotumika kumdiscuss chenge inapatikana faida gani?zaidi ya maneno tu?kwanza hata katika vyombo vya habari iliandikwa vinavyohisiwa hivyo kulikuwa hakuna prouvement yoyote!Dawa ni kuforget abt that na kumove forward!Mkuu hollo heshima mbele,
Ukweli upi wakati maswali haya hatujajibiwa?
Hivi wabunge viti bungeni wanajitafutia wao wenyewe nafasi ipo wapi wakae au wanawekewa na watumishi wa bunge?
2. Kama wanajitafutia wenyewe sasa hayo majina kwenye viti yalitoka wapi?kiasi jamaa awe anaangalia jina lake?
3. Na kama kulikuwa na majina kumbe iliwezekana kabisa kuoneshwa kiti chake wakati ule ule rasmi wa kuingia bungeni
4. Kwa mtizamo reasonable kabisa hata mie nikienda pale bungeni leo sitatafuta kiti najua nitaoneshwa tu na makarani wa bunge sembuse mtu aliyekuwa waziri na inajulikana kabisa anarudi kuwa back bencher?
5. Kwa taarifa zilizopo ule ukumbi wa bunge una idadi ya viti kubwa kuliko wabunge waliopo,je kulikuwa na haja ya kutafuta kiti mapema?
6. kwani bunge wakati linaanza ile siku ya kwanza alikaa wapi?mpaka atafute kwa kukaa awamu ya pili ambako kungesomwa bajeti?au hata kama alikuwepo kwanini atafute kiti siku ambayo sio official kwa wabunge kuingia kwenye debate hall?
7. Kwa spika ama naibu spika nako ni back bencher?mbona alishawapta hata mawaziri au alitaka kuongoza bunge siku hiyo?
Maswali haya na mengine mengi yanazua circumstantial evidence kuwa huenda basi amehusika,na kwa wale waliosoma sheria ya ushahidi najua wamo wana sheria humu,kuna vitu kama res gestae kwenye ushahidi na pia section 3-20 ya sheria ya ushahidiTanzania ambapo kuna mambo ya ushahidi wa kusikia au kudhani yanaruhusiwa ili mradi yawe supported na other set of facts(yaani corroborated) hivi hamuoni kama chenge anatia shaka?
Tuambie kwa nini ni uongo? ukweli ni upi brother?... mimi hadi page ya 26 sijauona... zaidi ya mahisia kibao...
Habari ambazo zinashabihiana ni muhusika kwenye source zote mbili ni huyo huyo!!! Ambacho hatukijui ni Kumwagwa kwa unga au Kuonyeshwa kiti cha kukaa!!!
Sasa mkuu wewe unayejua ukweli tuambie...
Polisi ni lazima isubiliwe kwa sababu ilishirikishwa!ila habari ndo hiyo Chenge is innocent!Kama kilikuwa kiinatafutwa kiti, kikao cha NEC wameamua hivyo, then Chiligati anasubiri uchunguzi wa polisi wa nini? Mbona hutmii akili kwa ishu ndogo sana hii?
mkitaka kutuzuga tuzugeni, lakini mkituzuga hakikisheni tunazugukika..Nawashauri waje na kisingizio kingine. Please, jitihadini kidogo katika kuzuga basi...
Nimeamini kumbe za hata za taifa huzifahamu!wewe mimi hunifahamu usijidai unanifahamu!Give me a break!acha kubwabwaja hapa!habari bila data bila evidence imekufa!hiyo siyo scientific research!Fanyenyi kazi watanzania ili Taifa letu liende mbele!Maneno hayatatusaidiaAcha hizo bro, wewe kwenu ni Bukoba sio Bariadi, daganya wajinga sio wote hapa ni wajinga mkuu, kama tunazo za taifa itakuwa zako? Wewe endelea kujidanganya tu mkuu, hapa wengine sisi ni watu wazima tumeona mengi sana makubwa ya kwako ni madogo madogo sana kijana!
kinachokusumbua ni wivu wa kitoto, ulikuja kichwa kichwa saa umenasa, tena nilkuonya mapema hukutaka kusikia kuwa nitakuwekea kitanzi utajivika mwenyewe, mambo ya kurukia watu usiowajua unaona sasa mtu mzima aibuu!
mkitaka kutuzuga tuzugeni, lakini mkituzuga hakikisheni tunazugukika..
Baada ya Chenge kujiuzulu si alirudi alikokuwa anakaa mwanzoni kabla ya kuteuliwa Waziri? Kwani alipoingia Bungeni kabla ya kuwa Waziri alikuwa anakaa wapi mwanzo? si hapo aliporudi baada ya kujiuzulu? Ushahidi si huu hapa:
Sasa hiki kiti kingine anakitafuta kwa minajili gani wakati kiti chake alichokuwa nacho mwanzo (kabla ya kuwa Waziri) na ambacho alikirudia baada ya kuondoa bado kipo?
Nawashauri waje na kisingizio kingine. Please, jitihadini kidogo katika kuzuga basi...
Hollo,
Mkuu vipi tena yamekukuta yapi?..
Hiki ni kijiwe ambacho tunazungumzia maswala kama haya ya kina Chenge, hatujengi nyumba hapa sasa unaposema tu move on to move wapi?.. tuache kujadili msomi wetu ambaye kagubikwa na imani za kichawi?...
Wewe mtu mzima lini mtu akahama kiti wakati hakuna wabunge wengine ndani? na kama alikuwa akihama mbona hakukaa humo hadi wengine wajiunge naye maanake unapohama kiti unahakikisha watu wengine wasije kichukua..
Kisha basi hili swala la kuhama kiti linafanywa kila siku ya bunge inapokuwa tupu iweje leo huyu mkuu wamzushie yeye ktk kitendo ambacho ni cha kawaida unless kayafanya haya wakati usuokuwa wa kawaida na kapitia viti vingi akichagua sijui ama alitafuta kizuri zaidi kuwa karibu na Mwakyembe..
sasa labda tuseme hivi:- Chenge aliombwa na mhudumu wa Bunge kumsaidia kuweka majina ya watu ktk viti hivyo ndio maana alionekana akipita kila kiti!...lakini kabla bunge halijaanza waliamua tena kuyatoa majina hayo...
Nadhani hii itajibu maswali yote ya wananchi...
Mwambie naomba kuwa wakili wake! kwi kwi kwi!
Mzee FMES,
Huu wimbo ni kwamba walitunga wote yaani Franco na Sam Mangwana na kuja kuuimba wote. Ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa ni KISIMA cha wasanii. Wengi walipitia kwake kama akina Mayaula, Mangwana, nk.
Quote:- Mwanakijiji
Sasa hiki kiti kingine anakitafuta kwa minajili gani wakati kiti chake alichokuwa nacho mwanzo (kabla ya kuwa Waziri) na ambacho alikirudia baada ya kuondoa bado kipo?
Nawashauri waje na kisingizio kingine. Please, jitihadini kidogo katika kuzuga basi...
Quote:- Hollo
Nimeamini kumbe za hata za taifa huzifahamu!wewe mimi hunifahamu usijidai unanifahamu!Give me a break!acha kubwabwaja hapa!habari bila data bila evidence imekufa!hiyo siyo scientific research!Fanyenyi kazi watanzania ili Taifa letu liende mbele!Maneno hayatatusaidia
Kwani mbunge hana haki ya kuhama sehemu aliyokuwa dhamani na kutafutiwa sehemu nyingine?ama kweli JK ana kazi
Mkuu Mtanzania,
dawa ni kuwakamata na kuwalazimisha wao na familia zao walipie risasi za kuwatwanga mbele ya public, tena ikiwezekana pale Sanamu Monument, yes piga risasi tu,