Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Wakuu wa JF kidogo sikuelewa nadhani sababu sikuanza mwanzo kuangalia Bunge jana lakini wakati mbunge mmoja wa CUF akichangia mada alimpongeza Spika kwa kupokea kadi tatu za uanachama wa CUF akamuomba ampe moja Chiligati na nyingine Waziri Pinda.
Kulikoni?naomba mnisaidie hapa.

Kevo, kilichowasilishwa kwa Spika hakikua kadi bali ni sarafu ya Sultani wa Zanzibar yenye rangi na nembo ya bendera ya CUF na akaombwa aonyeshe na kadi ya CUF walinganishe akawapa. Kwa kweli yule mbunge alichemsha sana na aliwapa CCM nguvu kwamba chama cha CUF ni cha Sultani na wabunge wa CCM walisikika wakisema "Kumbe CUF ni chama cha Waarabu!!". Mbunge yule alisema watalii wanatembelea kuona mambo mbalimbali akatoa ushahidi wa sarafu akisema ina alama za CUF, wabunge walicheka na Spika alisema michango mingine inachangamsha sana. Sina hakika mbunge yule alifanya kwa nia njema kwa CUF
 
Hahahaha alidhani atakuwa shujaa wa kuoanisha hakujuaa impact yake........
 
Mwaka huu mbaya sana,kila kitu kitawekwa hadharani,CUF wakiambiwa ni vibaraka wa Waarabu wanang`aka,hayo sasa, tena mchana kweupe!!!!!!!
 
Kevo, kilichowasilishwa kwa Spika hakikua kadi bali ni sarafu ya Sultani wa Zanzibar yenye rangi na nembo ya bendera ya CUF na akaombwa aonyeshe na kadi ya CUF walinganishe akawapa. Kwa kweli yule mbunge alichemsha sana na aliwapa CCM nguvu kwamba chama cha CUF ni cha Sultani na wabunge wa CCM walisikika wakisema "Kumbe CUF ni chama cha Waarabu!!". Mbunge yule alisema watalii wanatembelea kuona mambo mbalimbali akatoa ushahidi wa sarafu akisema ina alama za CUF, wabunge walicheka na Spika alisema michango mingine inachangamsha sana. Sina hakika mbunge yule alifanya kwa nia njema kwa CUF

..kwani zenj si ni nchi ya waarabu, sasa kuna dhambi gani kuwa associated na uarabu?
 
The speaker should be above this type of conniving partisan mucraking.
 
Kevo, kilichowasilishwa kwa Spika hakikua kadi bali ni sarafu ya Sultani wa Zanzibar yenye rangi na nembo ya bendera ya CUF na akaombwa aonyeshe na kadi ya CUF walinganishe akawapa. Kwa kweli yule mbunge alichemsha sana na aliwapa CCM nguvu kwamba chama cha CUF ni cha Sultani na wabunge wa CCM walisikika wakisema "Kumbe CUF ni chama cha Waarabu!!". Mbunge yule alisema watalii wanatembelea kuona mambo mbalimbali akatoa ushahidi wa sarafu akisema ina alama za CUF, wabunge walicheka na Spika alisema michango mingine inachangamsha sana. Sina hakika mbunge yule alifanya kwa nia njema kwa CUF

Mzee shukran kwa ufafanuzi huu. On the other side kuna wabunge huko bungeni wanapoteza precious time kuleta siasa za maskani huko kazi ipo kweli
 
Sir Pundit,
Mkuu labda nimepitwa lakini naomba hicho kipande ambacho Dr. Slaa katumia neno hilo NDIVYO TULIVYO....
Maanake kumbuka hata mimi nakubali sana kuwa Ndivyo Tulivyo isipokuwa inategemea neno hili limetumika vipi...
 
mwiba uko wapi?

hebu njoo utueleze nini walikusudia?

maana wao walisema CCM zanzibar wako karibu zaidi kuliko wao na wakafika kumtaja mmoja wa mawziri wa muungano kuwa alikuwa YOU ya ZNP sasa hili vipi ?

Mwiba mwaka huu mtapoteza tu ndugu yangu
 
Kevo, kilichowasilishwa kwa Spika hakikua kadi bali ni sarafu ya Sultani wa Zanzibar yenye rangi na nembo ya bendera ya CUF na akaombwa aonyeshe na kadi ya CUF walinganishe akawapa. Kwa kweli yule mbunge alichemsha sana na aliwapa CCM nguvu kwamba chama cha CUF ni cha Sultani na wabunge wa CCM walisikika wakisema "Kumbe CUF ni chama cha Waarabu!!". Mbunge yule alisema watalii wanatembelea kuona mambo mbalimbali akatoa ushahidi wa sarafu akisema ina alama za CUF, wabunge walicheka na Spika alisema michango mingine inachangamsha sana. Sina hakika mbunge yule alifanya kwa nia njema kwa CUF

Thanks for this useful info I wanted to know that.
 
Hivi hi thread haina harufu ya kiubaguzi kweli! Uarabu Zanzibar mbona ndo nyumbani?
 
Halisi,
Samahani mkuu hapa kidogo umenitoa nje!..
Hiyo sarafu ilikuwa na Bendera ya CUF kwa vipi? - rangi zake ama ile nembo (logo) ya mzani na kupeana mkono!..
Nashindwa kabisa kuelewa kitu mbacho kipo ktk sarafu ya Sultan ambacho kinaweza fanana na bendera ya CUF na kisiwe na tafsiri nyingine isipokuwa Usultan. Kama ni hizo rangi sidhani kama kweli sarafu kuwa na rangi..
 
mwiba uko wapi?

hebu njoo utueleze nini walikusudia?

maana wao walisema CCM zanzibar wako karibu zaidi kuliko wao na wakafika kumtaja mmoja wa mawziri wa muungano kuwa alikuwa YOU ya ZNP sasa hili vipi ?
Mwiba mwaka huu mtapoteza tu ndugu yangu

Nilikuwa sipo na bahati mbaya sina njia ya kuona kilichotokea japo kimetokea ,lakini la kujiuliza ikiwa sisi sote tumekwenda shule ,hivi uliona wapi sarafu yenye rangi spesho hizo sarafu za zamani wakati wa Chifu Mkwawa au Sulutani ? Hapo tu !! Nashangaa uzezeta wa CCM kushangilia sijui baada ya mmoja wao kuwazidi maarifa wenziwe na kutaka kupoteza mambo muhimu yaani wamekosa cha kusema sasa haijulikani wanalipeleka wapi Taifa hili, hebu nenda ka gugule halafu lete sarafu za Zanzibar tuone yenye rangi ya bendera za CUF.
Yaani nashindwa kuelewa kinachoongelewa ni kitu gani ?
Ngoja niweke hii picha ya sarafu ambayo ndani yake imo mezani:-
zan-1p86.jpg

Sasa hapo tumepata mizani au sio mtasema kwenye bendera ya CUF kuna mezani ,hivi mahakama katika nembo zao hakuna mezani ?
Basi na hii hapa sarafu nyengine:-

british_EA_coin_1888_scaled.jpg

Hapa mtasemaje maana huyu ni British kwenye miaka ya 1880 , wacheni kushangilia upumbavu ,samahanini ,lakini tuseme tunapelekwa wapi na majuha hawa ? wanaacha kujadili namna ya kurudisha feza na kuwakamata mafisadi wanaenda kuonyeshana sarafu ,hivi hii hoja ilianzaje huko bungeni kama haikuanzishwa na CCM ni bahati sana maana ndio wanayokwenda kujadili huko kumbe wanaficha mijimambo ,yaani hii yote ni kutaka kujibabaisha,haya na picha hiyo pelekeni bungeni muwambie kuwa waarabu hao :-

_40073719_cufsupporters.jpg

Hawa ndio kiboko ya mafisadi nyie endelezeni kulindana lakini ONE DAY YES.
 
Kuwa na waarabu ndani ya zenji hakumaanishi kuwa waarabu hiyo ni nchi yao, mwakilishi alikuwa sahihi kusema alivyosema na hakika alitaka kuoensha kuwa hatuwezi kuendelea ikiwa tutakalia mabo ya sisi ni sisi na wao ni wao.

Mshikamano ni zaidi ya kulia pamoja
 
Hapa wazee wanachemsha tena sana wala sii kidogo... Ama kweli CCM hawana pa kukamatia miti yote inateleza!..
Nadhani kesho Mahakama zote zitaondoa nembo ya mizani!
 
Mwiba ahasante....Mafisadi wanapoteza mwelekeo makusudi....

Mtu wa Pwani...nilikuwa nakuamini kama mtu makini...kumbe Ushabiki wa Chama nao umeuweka Mbele...
 
Hakuna asiyejua kuwa CUF ni chama chenye elements zote za kiarabu.Fuatilia mikusanyiko ya CUF na maeneo yenye ushabiki mkubwa wa CUF utajionea elements hizo.

Mbunge hakukosea kitu hapa.

Mwanadamu mwene akili timamu hawezi kupoteza muda wake kukishabikia chama cha CUF.

Narudia kusema CUF ni vibaraka wa-waarabu,endeleni wala msibadilike,but,uzezeta + malengo yenu na huyo mwarabu hayatapata nafasi ndani ya nchi hii tuliopewa zawadi na MUNGU aliye hai.
 
Hapo juu umesahau na WaIrani na Wamakonde ! At CUF, we hope to be a voice that proclaims the truth, champions the faith, and provides a perspective that is both authentically !
 
Kesho siku ya jumatatu ni siku waziri mkuu atatoa hotuba yake ya ofisi ya Waziri mkuuu.

Kutokana na utamaduni wa kambi ,msemaji wa upinzani ni Dr.Slaa, sasa kesho anategemewa kuja na jmbo gani?

Kwani itakumbukwa kuwa mwaka jana 2007/2008 ndipo issue za BOT ziliweza kuibuliwa kutokana na hotuba yake.

Nafuatilia kwa karibu kama nikiipata hotuba mapema leo nitaiweka hapa japo nimeweza kuiona draft ya kwanza.

Ashauriwe kuweka kitu gani ili kuboresha hotuba?
 
Back
Top Bottom