Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Jamani Wa-Tz kwa mara nyingine tena tumepatiwa Waziri wa Fedha Bomu! Mh. awajibishwe kwa kulipotosha Bunge. Tujiulize, kama Wabunge wasingekuwa makini si ingepitishwa Bajeti feki (inayoji-contardict)? Hiyo ni aibu kubwa kwa Mh. Mkullo na Rais pia.

Upuuzi wa namna hiyo haujawahi kuwasilishwa na Waziri wa Fedha yoyote kabla yake , hata yule aliyetuambia ikibid WaTz tutalishwa nyasi ili Mkuu wa Nchi apate usafiri wa kumpaisha angani.

Mh. awajibike mwenyewe au awajibishwe ili wengine wawe makini.
Naomba kuwasilisha!

Kweli huyu waziri ni bomu sana....

Seems hakuchukua muda kukaa chini na kuipitia kwa mapana ile bajeti. Mambo ya kukaa ofisini hayo (kama Mwanyika) na kusaini barua na vimemo tu. Unakumbuka Mwanyika naye alivyosema kwenye Tume ya Mwakyembe kwamba yeye kazi yake ofisini ni kupitia makabrasha ya siku na kutia saini, ila yanayoendelea kwenye ofisi technically hausiki navyo......?? Huyu naye ni staili hiyo hiyo.

Inaonesha alivyopewa na speech, yeye akapitia speech tu, si anajua anaenda kusoma tu....kudadadeki, hakujua kuna kina Slaa, Hamad na wengine ambao wataikalia na kuichambua.

Ila kingine, tuna uhakika gani kama miaka mingine haikuwa hivi?? Je wabunge wanasomaga miswada yote inayopitishwa bungeni kiundani???
 
Wote hawa ni MAFIOSO NDUGU ZANGU!
Kikwete alijikuta mtegoni baada ya mpango mahususi wa kuzitumia pesa za EPA kwenye kampeni yake ya USHINDI WA TSUNAMI!
Alipogundua hilo....Ikawa kama enzi UKIMWI ulipokuja ambapo watu walianza kuambukizana makusudi ili wasife wenyewe ama kutajana tena!
Kikwete kafanikiwa sana...Keshawaambukizia VIRUSI VYA UMAFIA NA UFISADI...
Sasa mnatufanya sisi PUMBAVU?
ZITTO HAKUJUA KUWA JOHNSON MWANYIKA NI MTUHUMIWA WA RICHMOND AMBAYE ALIWEKWA NA SWAHIBA WAKE DON KIKWETE KWENYE KAMATI YA MADINI YEYE PAMOJA NA MAFIOSO WENGINE?
Atawapiga vita kivipi?
Ama VIRUSI TAYARI DHIDI YA KINGA ZA FIKRA ZA KIZALENDO?

Jmushi1
Taabu yako wewe ndugu yetu unapigana ukiwa nje ya nyumba yetu, sogea karibu ushike huu uta baba yetu, si unajua fimbo ya mbali hai.......... nyok....
 
Inasikitisha sana sijui tunapelekwa wapi watanzania!!! Bajeti kukosewa jamani, walikuwa makini na nini? ni aibu kwa Taifa...
 
Ni kuwa hata muda huu Upinzani bado wanaendelea kuwabana sana hawa jamaa kwani hata masahihisho ambayo yameletwa ndani ya Bunge bado yamekosewa sana na Spika ameitaka kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi wakae muda huu na kupitia mapungufu hayo mara moja.

Kazi kweli kweli kwa waziri .......
 
Moderators watakwambia 'mwajuana kwa vilemba.' Tatizo la 'mafioso controversy' ni kwamba hakukuwa na uthibitisho. Sasa mimi wakiniuliza 'huyu wamjua alivyo?' nitasema 'sio tu twajuana, ila yeye ndo kanifundisha ufidhuli wa kuchokoza na kuchonganisha watu.'

Haya Bwana Kuhani wa maruhani swahiba wa mafioso!

Asha
 
Kuhani Mkuu na Pundit

Wote mmeshindwa kuona mapungufu ya content mpaka sasa mmebaki mnakosoa style. Ni ishara kwamba Dr Slaa amejenga hoja nzuri. Kumbuka hii hotuba ameitoa papo kwa papo, hakuwa anasoma hotuba iliyoandikwa kama anavyofanya Kikwete, Mama Kikwete na wenzake. Sasa hao wengine waandikiwa na bado hawana content wala stlye.

Asha

Dada Asha,

Tangu mwanzo niliainisha kuwa sina tatizo na maudhui ya Dr. Slaa, nina matatizo na colloquism iliyotumika.

Kama ninavyomlima Kikwete au mtu mwingine yeyote anayeleta substandard argument/ presentation, Dr. Slaa naye analimwa no doubt.Mimi sina mapenzi na chama mapenzi yangu yapo katika excellence na taifa.

Umekubali kwamba presentation haikuwa nzuri.Naweza kumsamehe kuhusu figures kutozipata right kwa sababu alikuwa anatoa an impromptu speech na yeye mwenyewe alitoa disclaimer kuwa akiwa amekosea asahihishwe, such a gentleman.

Nisichoweza kuelewa ni hii colloquism ya kuiita constituent yako "watanzania ndivyo tulivyo" kwangu mimi Slaa inabidi aeleze ndivyo tulivyo vipi? Inaonekana ana belittle Watanzania, anaweza kujirudi na kuomba msamaha?

Tushatukanwa sana kwa kuambiwa tule nyasi, tuchukue misalaba yetu wenyewe, twende motoni na watu wa CCM. Sasa hata watu wa upinzani ambao tulifikiri ndiyo wakombozi wa kuitoa CCM nao wanatuletea umangimeza na lording it over us like that?

Slaa, while a commendably useful MP, will do well to watch his sentences and carefully measure every word he utters, especially because it is not only patriots like me who are watching him, more than me the CCM hawks are closely conniving to destroy him.

I would hate it for him to give them such easy and valid ammunition in the process of distracting the bigger issues he is trying to present.
 
Wakuu wa JF kidogo sikuelewa nadhani sababu sikuanza mwanzo kuangalia Bunge jana lakini wakati mbunge mmoja wa CUF akichangia mada alimpongeza Spika kwa kupokea kadi tatu za uanachama wa CUF akamuomba ampe moja Chiligati na nyingine Waziri Pinda.
Kulikoni?naomba mnisaidie hapa.
 
Umethibitisha mwenyewe kuwa hujasoma na kuelewa! Lengo la kujieleza ni kueleweka. Kama wenzako wengi humu wanasema wamemuelewa Dr Slaa mchango wake, wewe ni nani hata useme kwamba ameshindwa kujieleza? Sio ameshindwa kujieleza, wewe umeshindwa kumwelewa

Asha

Hii ndiyo ile ile argument ya "it is OK kutumia broken grammar/ language as long as people understand you"

Tatizo ukitumia bad grammar/ broken language/ poor communication hatuna uhakika kama watu watakuelewa.

They say perception influences reality.Kuna baadhi ya watu washaanza kupata perception kuwa Dk. Slaa yuko prejudiced against Tanzanians kwa kauli yake ya "Watanzania ndivyo tulivyo"

Sasa ukiamka kesho na kukuta gazeti la CCM limeandika ukweli unao distort the bigger picture kwamba.

"DK. Slaa is prejudiced against Tanzanians"

Utasema siyo kweli?

Presentation can make or break your case.Let's not downplay that.
 
Can we be serious for a minute wa ndugu? This is too much now....
 
Wakuu wa JF kidogo sikuelewa nadhani sababu sikuanza mwanzo kuangalia Bunge jana lakini wakati mbunge mmoja wa CUF akichangia mada alimpongeza Spika kwa kupokea kadi tatu za uanachama wa CUF akamuomba ampe moja Chiligati na nyingine Waziri Pinda.
Kulikoni?naomba mnisaidie hapa.

..let's say they were memorabilia.
 
Pundit, its you whom you want CCM to do that, alisema watanzania ndivyo tulivyo kuwa kila mara tunashabikia vitu bila kujua content.

Kwani kila siku watu wa watanzania huwa wanaamini kila wanaloambiwa na viongozi hata bila ya kuhoji ukweli na uhalali wake .

Ndivyo tulivyo, aliwataka watanzania kuwa critical ...they should dought everything, that was his message.
 
mkuu uko dodoma?
coz haunekani mjini kabisa,Ila Dk. Slaa ni mwisho wa matatizo ya watanzania..jmkullo alishahitimisha mjadala wake?

nitakuwa dodoma wiki ijayo,nitakutafuta
 
Hivi kwa nini hotuba ya Dr. Slaa iwe impromptu? Ninavyojua mimi ni kuwa wabunge wote wanapewa hivyo vitabu kabla ya hotuba ya waziri. Ndiyo maana aliweza kuikosoa. Kutokua na notes ni dalili ya kutojiandaa vizuri. Kuna sehemu nyingine angeweza kuziongezea uzito kwa kutoa takwimu au kutaja majina. Hii isingemchukulia muda mrefu. Wakina Pundit na Kuhani kuanika haya mapungufu si kuwa wao wanapinga maudhui ya hotuba nzima. La, hasha, wanachofanya ni kusimama kama impartial observers. Tunawahitaji watu kama hawa ili tusiingie katika mtego wa kusifia kila kitu ali mradi kimetoka kwa mwenzetu. Ni lazima tumsaidie huyo mwenzetu kwa kumwonyesha kuwa hata yeye atawekwa chini ya darubini kama wengine. Ni sign of respect na si vinginevyo.

Anachostahili kupongezwa, yeye na wenzake, ni kutoa onyo kwamba they are not going through the motions. Wanapopewa document wanaisoma. Tofauti na waheshimiwa wengine. Hizi documents mpaka zifikie hapa ni lazima zilipitiwa na wengi, pamoja na katibu mkuu. Kwa nini wasione hayo mapungufu yalio dhahiri na kuileta bungeni hivyo hivyo? Au ni ile imani kuwa hakuna mtu anayeichukua bajeti seriously kiasi cha kupoteza muda kuisoma kwa makini. Kwa holi, wameonyeshwa wamekosea na waache kuchukua watu for granted. Hongereni na asanteni sana wakuu.
 
Ya, hajui kujieleza. Lakini kwa Bongo, ni creme de la creme.

We si ulinambia jamaa alikuwa lawyer wa nguvu? Sasa yeye hawezi, nani ataweza kujieleza Bongo?

Ndo tatizo la wabongo sijui ni wivu au nini angalia jamaa anavyo jishanganya anasema jamaa ana point lakini hawezi kujieleza...hivi inaingia akilini?Mtu unaweza ukawa unapoint lakini ukashindwa kujieleza?lakini mbona jamaa anaeleweka sana kuliko hao wanao jieleza blablaa kibao point huoni au ndo hao jamaa anao wataka?
 
Amini usiamini, Mkuu, wako wengi wenye point lakini hawawezi kujieleza kama vile kuna mabingwa wa kujieleza lakini hawana point!
 
hii biashara ya number plate ni source kubwa sana ya ufisadi. kuna mama nasikia anaitwa masasi walimpa hii tenda nchi nzima, amechemsha na baadaye wakatangaza kuwa wao TRA wamejiondoa kwenye dili hili, nadhani walisema makampuni yanayotaka yapeleke sifa zake huko TBS. baada ya wiki mbili TRA, wakafanya about turn, wakasitisha mchakacho huo. huyu mama anaendela tu kuula. kwa kila gari linalotembea barababrani yeye anakula 20,000. hizi pesa zina mgawo m kubwa sana, zingine ziliokoa wabunge wa ccm, waliokuwa taabani 2005!
 
Hii sasa ni new news....
Huyu mama anakula sana lakini hapo kuna vi% wengi wananeemeka sana
 
Pundit, its you whom you want CCM to do that, alisema watanzania ndivyo tulivyo kuwa kila mara tunashabikia vitu bila kujua content.

Kwani kila siku watu wa watanzania huwa wanaamini kila wanaloambiwa na viongozi hata bila ya kuhoji ukweli na uhalali wake .

Ndivyo tulivyo, aliwataka watanzania kuwa critical ...they should dought everything, that was his message.

I take issue with that collectivist and generalizing assesment, mbona tuko Watanzania hapa ambao sio tu hatushabikii vitu bila kujua content, bali pia hatushabikii huyo anayesema Watanzania hawashabikii vitu bila kujua content kama tulivyosema hapo juu?

Kawa-lump Watanzania wote together kama Nyani Ngabu vile, I continue to take issue with that whether it is coming from Nyani Ngabu or Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom