YoyoTheDeveloper
Member
- Oct 9, 2021
- 36
- 42
Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
Kwani hauna kadi mkuu. Kama una kadi iwe virtual au physical niambie nikupe formula ya kutoa ela hyoHabari zenu wakuu, kwa yoyote mwenye account ya payoneer na uko dar, nahitaji kutumiwa $10 kisha nitatoa cash. Nataka kufikisha minimum withdrawal. Nitoe hii pesa.
Ahsanteni.
Hapana kadi sina aseeKwani hauna kadi mkuu. Kama una kadi iwe virtual au physical niambie nikupe formula ya kutoa ela hyo
Omba wakupatie hata virtual mastercard kama umekamilisha verification kufikia kesho unaipata. Kisha iunge mpesa au airtel kwa app utaweza kutoa pesa yako instatntly. Makato ni asilimia 5 ya ela unayotoa na airtel wana rate ya 2500 per dollarHapana kadi sina asee
Ndo bank gani hapo Dar?Habari zenu wakuu, kwa yoyote mwenye account ya payoneer na uko dar, nahitaji kutumiwa $10 kisha nitatoa cash. Nataka kufikisha minimum withdrawal. Nitoe hii pesa.
Ahsanteni.
Habari zenu wakuu, kwa yoyote mwenye account ya payoneer na uko dar, nahitaji kutumiwa $10 kisha nitatoa cash. Nataka kufikisha minimum withdrawal. Nitoe hii pesa.
Ahsanteni.