Payment aggregators -Tanzania banking services

Ivan Stepanov

JF-Expert Member
Apr 22, 2023
4,889
15,935
Wakuu habari, nisiwapotezee muda, nimekuja kuomba msaada nikijua fika humu ndani kuna wajuvi wengi wa mambo.

Kwanza kabisa nimekosa kiswahili sahihi cha kutumia kwenye heading hapo juu hivyo mniwie radhi japo naamini haitazuia mwenye msaada ku share japo abc's

NAHITAJI KUFAHAMU, ni kampuni gani hapa Tanzania ambayo wana toa huduma kama aggregators kwa ajili ya ku facilitate malipo ya ki bank katika namna ambayo taarifa za ki bank kuhusu malipo fulani zikaweza kuwa linked na database za third part system.

Mfano:

Nina duka langu nauza bidhaa. Na nina tumia mfumo wangu (web-based application system) ku controll sales na kuhifadhi taarifa zote za malipo pindi mteja anapolipia huduma. Sasa nahitaji iwe mteja akilipa bank, taarifa hiyo kwenye akaunt isome pia kwenye database ya mfumo wangu naotumia ku manage duka langu.

AzamPay wameji nasibu kuwa wanatoa hii huduma ila in real sense THEY DONT labda kwa card, i dont blame them kuji tangaza kuwa wao ni aggregators wa NMB and CRDB ila kiukwel sio kama wanavyojieleza nafikiri ndio kwanza wanalifanyia kaza, hivyo when i reached out for them i ended up being disappointed.

WAKUU, NISAIDIENI.

Ahsanteen in advance
 
Kampuni nyingine hii, wajaribu

 
Back
Top Bottom