pmwasyoke
Platinum Member
- May 27, 2010
- 5,040
- 3,928
Umempa mtoto wa watu mimba,hata hajamaliza chuo,kwao watamind na we mwenyewe hujajipanga.......unadhani other option ni nini?
Ndugu yangu epuka mawazo ya kiuaji hayo.
Umempa mtoto wa watu mimba,hata hajamaliza chuo,kwao watamind na we mwenyewe hujajipanga.......unadhani other option ni nini?
Wanandoa ni wachache sana.Ni kweli ni dhambi kubwa sana kuukatili uhai wavitarajiwa. Tena mchezo huu hufanywa na wengi walioko kwenye ndoa. Mimi nadhani tuyalaumu makundi yote mawili. Hasa hawa walioko kwenye ndoa sababu yao kubwa ya kuchoropoa ni waume zao kesha mmimbilisha mkewe wakati bado anakachanga anamwambia lazima uchoropoe na nakupeleka mwenyewe kwa dr. Kuna wengine walipelekwa na waume zao bila hata ya wao kuridhia kisa baba hataki kutunza vichanga viwili nyinyi wababa nyieeeee.
Umempa mtoto wa watu mimba,hata hajamaliza chuo,kwao watamind na we mwenyewe hujajipanga.......unadhani other option ni nini?
Every living thing deserves a chance but It is not my choice to kill a baby, my choice was to have sexNdugu yangu epuka mawazo ya kiuaji hayo.
Huo ni mtazamo tu kwamba mtoto atalelewa kwenye mazingira magumu la hasha ni hofu ya maisha tu bro. Upo ubaya wa kutoa mimba chukua mfano huyo mdada ndio keshaharibu tena ie ana mimba na wewe unamshauri atoe kwa sabau hiyo uliyoisema .Baadae mambo yanakua safi unamuoa / anaolewa akiwa kwenye ndoa yake hapati mtoto kila wakimpima wanamwambia hana tatizo lkn miaka inakatika hivi wewe hautaenda nje kutafuta mtoto. Na pindi ukienda nje mimba inaingia huko kwa mdada wa nje huoni kua utakua umemuumiza mwenzio kwa kosa mlilofanya wote. Cha msingi ni kujipaNGA KUMPOKEA HUYO KICHANGA na Mungu atawasaidia tu. Japo challenge zitakuwepo , bwana baada ya miaka kadhaa kupita utajipraudi sana kwa kua na mtoto wa umri huo.kuzini siyo ishu,sioni ubaya kutoa mimba kama hamjajipanga kuliko mtoto aje kulelewa mazingira ya mateso
A child has no way to fight for its own life,we na mmeo mmeshapanga mtakuwa na watoto wangapi mara inatokea mimba isiyotarajiwaOption ni kuacha kufanya matusi. Kama unajua wazazi watamind mimba, waliwaambia hawamind mkifanya matusi?
Ni kweli rafiki kwenye hii jamii kuna mengi. Nimewaona baadhi ya wanandoa wakifanya hivyo ndio maana nikawapoint na wao ili wasijewakakazia wanafunzi tu na kuficha ya ndoani.Wanandoa ni wachache sana.
na hata wale wanaokuja kwa ajili ya kutoa mimba, sababu huwa "mimba sio ya mzee"
Huku nilipo, wengi wao ni wanafunzi wa sekondari na chuo.
Tena wanaanza kujaribu kuchomoa wakisaidiana na wanaume zao, mambo yakigoma wanakuja hospitali.
na bahati mbaya wengine wanakuja wakiwa wamejeruhiwa vizazi vyao, aidha wamepata maambukizi au kizazi kimetobolewa na kujeruhi matumbo(intestines).
kuna njia salama zaidi za utoaji mimba na akiolewa ataendelea tu kuzaaHuo ni mtazamo tu kwamba mtoto atalelewa kwenye mazingira magumu la hasha ni hofu ya maisha tu bro. Upo ubaya wa kutoa mimba chukua mfano huyo mdada ndio keshaharibu tena ie ana mimba na wewe unamshauri atoe kwa sabau hiyo uliyoisema .Baadae mambo yanakua safi unamuoa / anaolewa akiwa kwenye ndoa yake hapati mtoto kila wakimpima wanamwambia hana tatizo lkn miaka inakatika hivi wewe hautaenda nje kutafuta mtoto. Na pindi ukienda nje mimba inaingia huko kwa mdada wa nje huoni kua utakua umemuumiza mwenzio kwa kosa mlilofanya wote. Cha msingi ni kujipaNGA KUMPOKEA HUYO KICHANGA na Mungu atawasaidia tu. Japo challenge zitakuwepo , bwana baada ya miaka kadhaa kupita utajipraudi sana kwa kua na mtoto wa umri huo.
Hahahah!ha haaa,
kuna daktari mmoja (gynecologist) alioa. walipopata mtoto wa kwanza kabla hawajakaa sana dada ana mimba nyingine.
mdada akasema haiwezekani, akamwambia mumewe lazima unitoe hii mimba, daktari akakataa, basi ukawa ugomvi mkubwa saaaana. baba akatia jeuri mimba inakua, siku zikafika, mdada akajifungua.
karibia anajifungua, mkaka akamwita mama mkwe (mama wa mdada) aje awasaidie.
ile siku wametoka hospt na kichanga chake wana furaha wenyewe, mdada sasa si unajua unavyofurahia katoto kapya, ghafla mkaka kaingia jikoni, kaja chumbani na kisu. akamkabidhi mkewe..... akamwambia haya sasa zamu yako, mchinje huyu mtoto, na ukishindwa nakukabidhi kwa mamako mnarudi wote home....... palichimbika mbona
Wait a minute hivi unayajua madhara ya utoaji mimba anejifeel guilt ni mama siku zote za maisha yake. Kumbuka wanaume hawawi affected psychologically or mentally lol. Sasa kwa kumsaidia huyo dada tumieni kinga remember prevention is better than cure. Okoa maisha ya vichanga wewe wangekuchoropoa ungekuepo leo hii.kuna njia salama zaidi za utoaji mimba na akiolewa ataendelea tu kuzaa
aaaaah inategemeana wao walikuwa na malengo ganiWait a minute hivi unayajua madhara ya utoaji mimba anejifeel guilt ni mama siku zote za maisha yake. Kumbuka wanaume hawawi affected psychologically or mentally lol. Sasa kwa kumsaidia huyo dada tumieni kinga remember prevention is better than cure. Okoa maisha ya vichanga wewe wangekuchoropoa ungekuepo leo hii.
hakuna lililo bora hapo!!
si bora anaetoa
kuliko yule anaezaa thn
ananyonga kichanga au kutupia
chooni,mi hua sielewi ni ukichaa hua unawapata au?!!ni ukatili mkubwa!!
teh teh tehhhhhh, mwenzio nina mapacha pale home.......Looh hiyo ilikua kazi kweli. Wanawake wengine wako hivyo kwa upande wangu hata ningebeba mimba baada ya miezi 2 toka kujifungua huyo bwana lazima angezaliwa tu. Huwa hatuelewi hata wanapotuambia tutoe wao wanabaki salama tu tena hawapati madhara yoyote mimi hunitoleshi aisee.
kuna binamu yangu alipata mimba form 1 akiwa bording......Umempa mtoto wa watu mimba,hata hajamaliza chuo,kwao watamind na we mwenyewe hujajipanga.......unadhani other option ni nini?