KUTOA MIMBA:- Wanawake hawaoni kuwa ni dhambi.

KUTOA MIMBA:- Wanawake hawaoni kuwa ni dhambi.

kiukweli siwote wanaopenda kutoa mimba bali ni kutokana na matatizo kama ya kubakwa kwa wanawake wakiwa wanakwenda kuchota maji mfano mkisarawe wanawake wengi wana bakwa sana wanapo kwenda kuchota maji
 
mark my words papaa, hata nijaaliwe watoto 30, sitatoa mimba. na ikitokea unplanned ni wasaa wangu wa kurekebisha nilipokosea hadi ikaingia kwa wakati usio muafaka. hata ningepata mimba nikiwa std 5, nisingeweza kutoa asilani. the only good reason kutoa mimba ni pale maisha ya mama yanapokuwa hatarini, kwa maana kuwa nikiing'ang'ania hiyo mimba tutakufa wote. na ni lazima niwe mahututi aisee! hapo maombi, sadaka ya nabii etc vyote vimechemsha!
A child has no way to fight for its own life,we na mmeo mmeshapanga mtakuwa na watoto wangapi mara inatokea mimba isiyotarajiwa
 
Tena anasahau kama alikuwa anakubembeleza bwn nenda mpnz wangu hatujajipanga sasa hivi,BUT ikifika muda ni kweli atatoka hata kubali kukaa bila mtt tena atakwambia mm nataka mtt bwana miaka inaenda nataka kuwa na mtt na mimi kama wenzangu heshima inapungua ndani dharau zinaanzia hapo,Mungu atunusuru but kikweli nikuumizana sana kosa la wote lakini mwisho wa cku muathirika ni mmoja.


Huo ni mtazamo tu kwamba mtoto atalelewa kwenye mazingira magumu la hasha ni hofu ya maisha tu bro. Upo ubaya wa kutoa mimba chukua mfano huyo mdada ndio keshaharibu tena ie ana mimba na wewe unamshauri atoe kwa sabau hiyo uliyoisema .Baadae mambo yanakua safi unamuoa / anaolewa akiwa kwenye ndoa yake hapati mtoto kila wakimpima wanamwambia hana tatizo lkn miaka inakatika hivi wewe hautaenda nje kutafuta mtoto. Na pindi ukienda nje mimba inaingia huko kwa mdada wa nje huoni kua utakua umemuumiza mwenzio kwa kosa mlilofanya wote. Cha msingi ni kujipaNGA KUMPOKEA HUYO KICHANGA na Mungu atawasaidia tu. Japo challenge zitakuwepo , bwana baada ya miaka kadhaa kupita utajipraudi sana kwa kua na mtoto wa umri huo.
 
Bujibuji ndo kusema kuwa hizo mimba wanakuwa wamejipa wenyewe hao wanawake.
 
Last edited by a moderator:
mimi natumia kidonge naweka chini vidonge viwili na viwili nameza navaa na pad mimba inatoka kasha nameza flagyl kusafisha tumbo.
ila nimeamua kuzaa sasa hiyo ni nzuri sana huchokonolewi wala husikii uchungu

cc: Kaunga Karucee Kongosho snowhite gfsonwin
@FP
mie huyu mtu amenishinda kwa kweli huyu ni toleo la mwisho kabisaaaaa mhhh hii ni hatari :A S-fire1::A S-fire1:
 
Last edited by a moderator:
cc: Kaunga Karucee Kongosho snowhite gfsonwin
@FP
mie huyu mtu amenishinda kwa kweli huyu ni toleo la mwisho kabisaaaaa mhhh hii ni hatari :A S-fire1::A S-fire1:
Unajua nimesoma commentyake nikabaki hoi. What The ----???? Sote tuna dhambi ila kukaa kutangaza dhambi zako like you have no conscience ni kuonyesha jinsi gani ulivyokuwa mja wa kupenda mambo ya laana hadi nafsi yako ishapigwa muhuri wa kutu. Hamna jema linaloingia. You are an insult to our species Zahra White. WTF did she write??? Siamini macho yangu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna binti amejigundua ana mimba anasema anataka aende Mtwara mimba yake ikatolewe na FFU na JWTZ
 
Hizo mimba zinaingia wenyewe au kuna wanaume ambao wamechangia katika utungaji wa mimba hizo?
jee hao walioshiriki wamekubali kuwajibika kwa mimba hizo?????
kama ni dhambi basi wote wanahusika.
Ingawa mimi ni mwanamume lakini ninahisi wanawake wanapopata mimba na wahusika kuruka wanachanganyikiwa mno na katika kuchanganyikiwa huko kwa kuwa single mama mtarajiwa na kwa usawa wa hali zetu hana namna nyingine ile hiyo tuu na kama adhabu ya mwenyezi mungu basi wote watatu [binti, kijana na atoaye mimba wote wataipata fresh]
 
Kutoa mimba ni kuua.
Dhambi hii imefanywa na wanawake wengi sana, tena kwa kujirudia rudia, yaani hawaoni kabisa kuwa ni dhambi.
Ukienda kwenye vi dispensari vya mitaani utashanga kukuta watoto wa kuanzia primary hadi wabibi wamejipanga kwenye foleni wakingoja kuchoropolewa mimbaz.
Wanaume ni waovu ila wanawake nyie wanawake ni zaidi
read this book

View attachment 95636

View attachment 95636
 
Kuna mdada pale hospitali ta tabata shule mwaka jana alikufa live bila chenga kwa mchezo huo, alitoa mimba ya miezi 6 kisa alikuwa HIV positive. Niliamini kuwa kweli mshahara bwa dhambi ni mauti mana hadi watu wanaenda kuosha mwili wake alikuwa anavuja damu kama kuku fresh aliyechinjwa muda huo huo, lol!! Wanawake wote mtakaosoma uzi huu, mkome kabisa huo mchezo jamani ni dhambi na ni hatari sana mana daktari hana uwezo wa kuona ndani ya kizazi chako na ndo mana wengine wanakufa kwa vile mishipa mikubwa ya damu hukatwa accidentally! Stop this kitu people.
 
Back
Top Bottom