kwa hiyo kosa mfanye wote consequences abebe yeye?
Vile wanaume wanavo kana responsibilities ndio na wao wanazikana
sawa kabisa maana ukikataa kutambua kiumbe kilicho tumbon na yy sharti akatae tusibebeshane lawama
kwa hiyo kosa mfanye wote consequences abebe yeye?
Vile wanaume wanavo kana responsibilities ndio na wao wanazikana
Hakuna bora hapo.....ni wajinga wote wanaoua viumbe malaika wa Mungu
Wait a minute hivi unayajua madhara ya utoaji mimba anejifeel guilt ni mama siku zote za maisha yake. Kumbuka wanaume hawawi affected psychologically or mentally lol. Sasa kwa kumsaidia huyo dada tumieni kinga remember prevention is better than cure. Okoa maisha ya vichanga wewe wangekuchoropoa ungekuepo leo hii.
kuzini siyo ishu,sioni ubaya kutoa mimba kama hamjajipanga kuliko mtoto aje kulelewa mazingira ya mateso
aiss hebu acha utani!!mtoto anaaza uhai toka mimba inapotungwa!abortion na kuuwa kilichozaliwa vyote ni kuua!!
kutoa kuna afadhali
coz pale kiumbe hakijakamilika
tofauti na kunyonga au kutupa chooni!!
upuuzi upi sasa,subiri binti yako apewe mimba na jambazi halafu ulee wewetoa upuuz,wewe ulikulia mazngra yapi?mbona upo hd leo
aiss hebu acha utani!!mtoto anaaza uhai toka mimba inapotungwa!abortion na kuuwa kilichozaliwa vyote ni kuua!!
mmmh!!ngoja niishie hapa maaan!ila nimesha sababisha in box!!
wala sitanii mtu akitoa haiumi sana
kama ukikuta mtt kanyongwa akatupwa
au mtt mzima kadumbukizwa chooni!!maumivu ni tofauti bana!!
bora usiendelee!hahahammmh!!ngoja niishie hapa maaan!ila nimesha sababisha in box!!
Bujibuji, nimekushangaa ulipojitoa kwa hili.......
ni wanawake wachache sana wanatoa mimba bila ridhaa ya mwanaume, sasa mbona kujitoa mwenzangu?
na kwa jinsi ninavyofahamu mimi, hata kumshauri mtu kutoa au hata kumtajia dr mzuri wa kutoa ni dhambi kubwa, maana nawe unakuwa umeshiriki hilo tendo
si bora anaetoa
kuliko yule anaezaa thn
ananyonga kichanga au kutupia
chooni,mi hua sielewi ni ukichaa hua unawapata au?!!ni ukatili mkubwa!!
mmh! Hakuna cha ubora hapo wote ngoma droo.
kuna njia salama zaidi za utoaji mimba na akiolewa ataendelea tu kuzaa
Hii biashara ni ngumu mjukuu wangu...
Kama watu tungekuwa wakweli katika nafasi na nyuso zetu, mada kama hii ingekosa wachangiaji....
Naomba niishie hapa...ila naamini ukubwa ni dawa..lol!!
Babu DC!!
bora unisaidie kuuliza hilo babu........Hivi wanaotoa ni wale wanaoenda kwa daktari tu au hata wale wanasahau kila wanachoproduce?
Babu DC!!
ha haaaa, kila la heri katoka hiyo discussion......umeona eeh! Hebu tutoke kwenye haya makitu hapa, twende tukadiscuss umri wako na wangu kulee (ujue nakukaribia karibia)
ha haaa, hasa linapoingia swala la DHAMBI........Hii biashara ni ngumu mjukuu wangu...
Kama watu tungekuwa wakweli katika nafasi na nyuso zetu, mada kama hii ingekosa wachangiaji....
Naomba niishie hapa...ila naamini ukubwa ni dawa..lol!!
Babu DC!!
ha haaaa, kila la heri katoka hiyo discussion......
sisi tulishaijaribu saaaaaana ikatushinda..
Kila mtu kabaki kujipa ushindi
ha haaaa, kila la heri katoka hiyo discussion......
sisi tulishaijaribu saaaaaana ikatushinda..
Kila mtu kabaki kujipa ushindi
hofu kwako rafiki....twende na wewe bana. Haya mavifo yanayojadiliwa hapa sio mazuri kwa afya. Mzima lakini?