KUTOA MIMBA:- Wanawake hawaoni kuwa ni dhambi.

KUTOA MIMBA:- Wanawake hawaoni kuwa ni dhambi.

Hebu nisaidie mkubwa mwenzangu...

Huyu Husninyo hajaanza kula mshahara halafu anataka kujilinganisha na watu wanaokula kiinua mgongo...

Wapi na wapi??

Babu DC!!
umeona eeeh mtu mzima mwenzangu?
lakini huyo ndo poa kwa discussion babu, utamtoa round ya kwanza tu, hutahitaji birth certificate wala affidavit.
 
umeona eeeh mtu mzima mwenzangu?
lakini huyo ndo poa kwa discussion babu, utamtoa round ya kwanza tu, hutahitaji birth certificate wala affidavit.


Nimestuka,

Hapa mkubwa mwenzangu unataka kunichuuza...

Kwa heri,

Babu DC!!
 
Hebu nisaidie mkubwa mwenzangu...

Huyu Husninyo hajaanza kula mshahara halafu anataka kujilinganisha na watu wanaokula kiinua mgongo...

Wapi na wapi??

Babu DC!!

we babu husninyo anakula faida sio mshahara. Lol. Halafu kiinua mgongo chako kikiisha niambie... Si nilikwambia kama nalea vizee?
 
Last edited by a moderator:
Kutoa mimba ni kuua.
Dhambi hii imefanywa na wanawake wengi sana, tena kwa kujirudia rudia, yaani hawaoni kabisa kuwa ni dhambi.
Ukienda kwenye vi dispensari vya mitaani utashanga kukuta watoto wa kuanzia primary hadi wabibi wamejipanga kwenye foleni wakingoja kuchoropolewa mimbaz.
Wanaume ni waovu ila wanawake nyie wanawake ni zaidi

'Wanaume kiini cha mabadiliko'
 
hofu kwako rafiki....
ni juzi tu nilisoma ule uzi wako, nikaumia moyoni kuwa umekimbia bila kukuaga......
nimefarijika kukuona.
Mwenzangu, haya makitu kweli hayana afya, tuyaache tu...
ila huko kwenye discussion ya maumri mimi na babu Dark City hatujawahi kufikia muafaka, kila mtu mkubwa kwa mwenziye

hehehehe! Nipo rafiki yangu... Ulimwengu wa huku full stress, acha tucheke na vibabu vya huku akina dc. Lol
 
Last edited by a moderator:
Nimestuka,

Hapa mkubwa mwenzangu unataka kunichuuza...

Kwa heri,

Babu DC!!
babu nikuchuuze mimi tena mtu mzima mwenzangu?
usiniambie huniamini tena......
ntalia ujue babu! yaani kujitahidi kote huku ku-gain trust bado siaminiwi?
vibaya hivyo
 
hehehehe! Nipo rafiki yangu... Ulimwengu wa huku full stress, acha tucheke na vibabu vya huku akina dc. Lol
bora upo rafiki....
Pole sana kwa yaliyokusibu, ila ulimwengu wa huku uuache huku huku kama unataka amani yako.....
usiruhusu kabisa stress na invisibles.
 
mmmmh rafiki! Wewe unazijua?
aaaaah Kwanza nimekumiss sana,zipo njia za maana,tusidanganyane watu wanajifanya wanapinga ila hii ni mambo ya kweli kwenye socity huwezi kuzuia
 
bora upo rafiki....
Pole sana kwa yaliyokusibu, ila ulimwengu wa huku uuache huku huku kama unataka amani yako.....
usiruhusu kabisa stress na invisibles.

mwenzangu! Hivi vivuli noma, nshapoa nimesamehe ila sijasahau. Lol. Mwambie babu anasubiriwa na bibi.
 
aaaaah Kwanza nimekumiss sana,zipo njia za maana,tusidanganyane watu wanajifanya wanapinga ila hii ni mambo ya kweli kwenye socity huwezi kuzuia

mekumiss pia, naomba kichekesho kimoja cha kulalia.. (sio hapa plz). Ni kweli hivi vitu vipo ila tunatakiwa kukemea na sio kusuport, kemea ujinga kadri uwezavyo hata kama unajua nawe una matendo ya kijinga.
 
waache watoe utawasaidia wewe kulea?vibaka wapungue
Kutoa mimba ni kuua.
Dhambi hii imefanywa na wanawake wengi sana, tena kwa kujirudia rudia, yaani hawaoni kabisa kuwa ni dhambi.
Ukienda kwenye vi dispensari vya mitaani utashanga kukuta watoto wa kuanzia primary hadi wabibi wamejipanga kwenye foleni wakingoja kuchoropolewa mimbaz.
Wanaume ni waovu ila wanawake nyie wanawake ni zaidi
 
ha haaa, naona babu keshasepa......
ukiona kimya sisi watu wazima tumeshaelewa

mi mwenyewe nshaelewa. Lol! Vibabu vyote viige mfano mzuri kwa kibabu dc.
 
mimi natumia kidonge naweka chini vidonge viwili na viwili nameza navaa na pad mimba inatoka kasha nameza flagyl kusafisha tumbo.
ila nimeamua kuzaa sasa hiyo ni nzuri sana huchokonolewi wala husikii uchungu
 
I just wish wangejua m2 unajifil guilt kiac gani kwa mfano mie cjipend najichukia najiona muuaji kila nkiona m2 ana mimba o mtoto mchanga natamani kungekua na shimo nijifukie uko inshort inatesa sana roho yangu!
Unaona eeee ,ni kweli dear unajifeel guilt na yote anaachiwa mama ateseke nayo. Hawajui kuna muda mtu unakua peke yako na ile picha inajirudia na hapo ndipo mtu anapojikuta anajuta mbaya awe hajabahatika kupata mtoto au kapata lkn kachelewa kila mara anakua anawaza ningezaa kipindi kile mwanangu angekua na umri flani. Kiukweli si kitu cha kushabikia lbda kwa vile wengine wanapenda tu kubishana.
 
Bujibuji, nimekushangaa ulipojitoa kwa hili.......
ni wanawake wachache sana wanatoa mimba bila ridhaa ya mwanaume, sasa mbona kujitoa mwenzangu?
na kwa jinsi ninavyofahamu mimi, hata kumshauri mtu kutoa au hata kumtajia dr mzuri wa kutoa ni dhambi kubwa, maana nawe unakuwa umeshiriki hilo tendo
Mnakuwaga na mwanaume mmoja nyie? FP acha kujivisha usahaulifu, tumbo moja lina wamiliki kibao. Huku unachukua laki, kule 50, kwingine 40 mwisho wa siku una kibunda, halafu mchokonoaji anakuchokonoa bure kwa malipo ya njunji
 
Last edited by a moderator:
mimi natumia kidonge naweka chini vidonge viwili na viwili nameza navaa na pad mimba inatoka kasha nameza flagyl kusafisha tumbo.
ila nimeamua kuzaa sasa hiyo ni nzuri sana huchokonolewi wala husikii uchungu

Jamani, na imekupendeza kuwafundisha wengine jinsi hiyo ya kuua vichanga!
 
Back
Top Bottom