Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi?

Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama huingizii serikali kiasi chochote cha faida yako?.

Kwa sasa mitaani fremu zinapangishwa sana na nyingine zimepanda bei. Naamini baada ya chinga wote kuondoka itaanza operation ya wasiolipa kodi,mtaa kwa mtaa,kila mtu kwa sasa ukienda manispaa mbalimbali kumejaa wafanyabishara wanaochukua leseni,hii ni dalili nzuri ya serikali kuongeza pato lake.
Mzee kodi ipi....now kila kona serikali inachukua tozo.
 
Kwa fikra zangu nadhani hili swala la kuwahamisha wamachinga limekuwa timed na kesi inayoendelea ya wakina Mbowe ili kupunguza tension na focus ya kesi yenyewe hivyo ni suala la muda tu mambo yatakuwa yamekaa vizuri.
Kwa kweli "wamachinga" wamekuwa wakitumiwa na wanasiasa na wafanya biashara zaidi kwa manufaa yao kuliko manufaa ya wamachinga wenyewe.
 
Kwa hiyo maduka ya jumla ndio yanawalipia wamachinga kodi!?
Machinga ni wateja wa maduka ya jumla bila machinga duka la jumla haliwezi uza.Duka la jumla uuza katoni na dazani awauzi bidhaa moja moja.Duka la jumla uchukua mzigo toka kiwandani, machinga haendi kiwandani.Duka la jumla bila machinga aliuzi lisipouza halitoweza lipa income tax na kodi zingine.Ni chain
 
Si kuna wateja wa maduka ya rejareja?nao si wananunua toka kwenye maduka ya jumla?
 
Kwani Tanzania wamachinga walianza kuwepo lini au kutokuwepo kwa umachinga kuanzia mwaka anina kabla ya umachinga Tanzania ilikuwa ikipaa kiuchumia ua kishuka kiuchumi na kwa mujibu wa takwimu za kiuchumi ni wapi panaonyesha kuwa wamachinga wameshusha uchumi am kupandisha uchumi wa Tanzania na je Uchumi wa Tanzania utapaishwa vipi nje ya ukosefu wa ajira ?
 
Wafanyabiashara wadogo wadogo walipe ushuru/kodi kwa maendeleo ya taifa!!
Leo kariakoo mgambo wametembeza kichapo, kwa wale manunda!!!kumbe mgambo akipewa heshima yake anaeza kuwa zaidi ya mwanajeshi daaa, walikuwa wanavunja mabanda mitaa ya karume bwana machinga wakaanza kulishambulia gari lao maalum la kuwahifadhi waleta fujo!bwana kuna jamaa walimkamata wameponda kichwa kama wanaua nyoka!!!
 
Machinga ni wateja wa maduka ya jumla bila machinga duka la jumla haliwezi uza.Duka la jumla uuza katoni na dazani awauzi bidhaa moja moja.Duka la jumla uchukua mzigo toka kiwandani, machinga haendi kiwandani.Duka la jumla bila machinga aliuzi lisipouza halitoweza lipa income tax na kodi zingine.Ni chain
Siongei Kwa ubaya lakini Serikali pia imeona upenyo WA kupata Kodi kupitia machinga. Kama tunavyopigwa kwenye kutuma, kutoa, Benki na SASA machinga pia usisahau Watumishi hawajaongezwa mshahara mwaka WA 6 SASA. Hii Serikali ni ya kinyonyaji uzuri inaongoza 'maiti'.
 
Serikali inayofikiri uwatumia machinga kupata pesa.
Mfano vitambulisho vya machinga piga elf 20 mara machinga milioni 5 KILA baada ya miezi 6 so kwa mwaka ni elf 40.
Unaingiza tilioni ngapi hapo.
Hizo pesa ndo unatumia kuwajengea machinga sehemu nzuri rasmi za biashara Ili uwapange maeneo rasmi ,huku ukiboresha kilimo Ili viwanda vikue Ili wengi wapate ajira Ili kupunguza idadi namba ya machinga wengi waingie kwenye ajira za kilimo na viwanda.
 
Si kuna wateja wa maduka ya rejareja?nao si wananunua toka kwenye maduka ya jumla?
Awatoshi kama machinga.
Nakupa case study.Kuna duka la jumla kabla ya machinga mauzo kwa siku milioni 25 hadi 30 baada ya machinga milioni 5 awapati kwa siku.
Hili duka linalipa income tax, viwanda vinalipa income tax effect ya machinga inaaffect production kiwandani na mauzo duka la jumla, uathiri mzunguko wa uchumi,means bodaboda atakosa kazi,mama lishe atouza chakula,nk
 
Back
Top Bottom