Kushinda kwenye PM

Kushinda kwenye PM

Mimi mbona nachat nae na bado PM kama kawa!!
 
... Dawg, you sound like a wounded soldier!

...or, like they've it hapa nyumbani; ukiona manyoya ujue...
 
duh hadi kwa Nancy unaendaga?
nimekuvulia kofia lol

Duh! Na wewe Nancy umemjuaje?

Au na we unaendaga? Hahahahaaaa Bossman bana......hakuna mtu nnayemwogopa humu kama wewe.

You are a bad muthafunker.
 
dah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele

kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol

kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol

Uuuuwiiiii.... Yaaani ndio umeamua kunianika!!!

Tatizo, ni vile ulivyokuwa unajibu hizo PM, ndio kulinifanya nihamasike kutuma tatu tatu..! Lol
 
Teh teh teh Bossman bana.....

You know what they say about the shoe....if it fits......?

Naomba ufafanuzi mkuu....

Kinachoongelewa hapa ni hizi hizi PM za JF au kuna kitu kingine?

Nahofia unaweza ukawa umeanza mchezo wa kuwaingiza wenzio mkenge kama Mzee Mwanakijiji....

Ni kama vile nastuka mie...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
... Dawg, you sound like a wounded soldier!

...or, like they've it hapa nyumbani; ukiona manyoya ujue...

Naah, how can I be a wounded soldier when I wasn't warring with anyone? Think bruh....think.
 
Uuuuwiiiii.... Yaaani ndio umeamua kunianika!!!

Tatizo, ni vile ulivyokuwa unajibu hizo PM, ndio kulinifanya nihamasike kutuma tatu tatu..! Lol


ha haaa wewe bana,hujambo lakini?
ndo umefichwa pm?
 
Na mods wanataka kuweka PM zote hadharani, itabidi kununulia I'd zetu mask.


Kwani na wewe ni teja wa PM??

Nahisi kuna confessions za kufa mtu zitamwaga hapa leo hii...

Ngoja nikacheze na wajukuu kwanza..lol!!

Babu DC!!
 
Kwani alikueleza nini kaka?

Haiwezekani ibaki kwenye kumbu kumbu kama hakukugusa mahali ambapo ulikuwa hujapavumbua..lol??

Babu DC!!


mkuu mambo ya pm siku zote ni 'imaginations' tu
ndo maana watu wakishaonana hawashindi pm
so pm ni nzuri kama unapenda fantasies zaidi..
 
He he he, huko ni watoto, wazee tuna vilinge vyetu.

Ngoja nimalizie kumkogesha zombie. Long tym no see u.

Kwani na wewe ni teja wa PM??

Nahisi kuna confessions za kufa mtu zitamwaga hapa leo hii...

Ngoja nikacheze na wajukuu kwanza..lol!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom