Kushinda kwenye PM

Kushinda kwenye PM

halafu kila nikipanga kushinda na wewe PM
kuna kitu kinatokea nashindwa sijui why
nataka nikutafutie kazi ya kwenda kubebba box
halafu nikusindikize ikibidi....
aisee nitashukuru sana huku bongo vumbi tupu!hakuna maslahi kabisa bwana..kila mtu kafulia ukikaa vibaya unaliwa mzigo na hela unatoa! maisha gani hayo..ndo maana tunaishia kushinda humu jf ! bora nikabebe box mbele ni mbele tu !
 
Umechoka kula vumbi?

Ila nyie wala vumbi mna nyodo sana. Wakati mwingine mnajifanya hampamaindi mbele lakini mkisikia wabeba maboksi tunarudi hamuachi kutusumbua tuwaletee vitu....
 
Aseee
Sasa kama yuko invisible wajuaje kama yuko Private room? Au wakesheshwa wewe na unashindwa kumwambia wahitaji break.
loh umepotea !!!!!!! ni mambo ya chimbo la pm nini?
 
Mara nyingine huwa nashindwa kuielewa JF...

Mbona PM yangu haijawahi kupata mgeni hata mmoja....

May be ni uvivu wangu...

But....Mtu mwingine kabisa, anaweza kujua kama Babu anashinda JF akishindia hamu??

Babu DC!!

Una gundu, nenda Pangani kaoge.
 
Umechoka kula vumbi?

Ila nyie wala vumbi mna nyodo sana. Wakati mwingine mnajifanya hampamaindi mbele lakini mkisikia wabeba maboksi tunarudi hamuachi kutusumbua tuwaletee vitu....
mi mbele napakubali sana!wewe ukipata tu opportunity ya kuogesha wazee nishtue!
 
Mara nyingine huwa nashindwa kuielewa JF...

Mbona PM yangu haijawahi kupata mgeni hata mmoja....

May be ni uvivu wangu...

But....Mtu mwingine kabisa, anaweza kujua kama Babu anashinda JF akishindia hamu??

Babu DC!!
halafu babu nisamehe yaani ! nasahau sana ujue! nina mambo millioni kidogo
 
Kheeee heeee heeee...Eeh! Huja'acha tu? Something like, long distance relationship

Hebu andika na hiyo nyekundu kwa Kiingereza...

Halafu mbona unazeeka haraka wewe....nimeingia fesbuk nimecheki picha yako hadi nikakuonea huruma.

What's wrong with you bruh? Have you fallen on hard times or what?
 
Sasa wewe hutaki majaribu!? usiyaogope majaribu banaa. Ukiona vipi vipi si unasepa zako tena bila kuaga.
unakuta mtu mwingine mnaheshimiana so kumpotezea inakuwa issue! ila pm bana mtu anakuuliza eti by the way umevaa chupi gani? kama sio kutiana majaribuni ni nini? khaaaaa pm mmmmh!
 
Hebu andika na hiyo nyekundu kwa Kiingereza...

Halafu mbona unazeeka haraka wewe....nimeingia fesbuk nimecheki picha yako hadi nikakuonea huruma.

What's wrong with you bruh? Have you fallen on hard times or what?
ahaaaa ndo maana sikuambii mi ni nani fb una makavu live balaa! h
 
Something new in town. Miondoko yake ni kuyanesanesa....sasa uwe club uone watu wanavyohehuka kinapokuwa hewani....Drop bands on it.

Js on my feet, Js on my feet, so get like me.

Last edited by a moderator:
Hebu andika na hiyo nyekundu kwa Kiingereza...

Halafu mbona unazeeka haraka wewe....nimeingia fesbuk nimecheki picha yako hadi nikakuonea huruma.

What's wrong with you bruh? Have you fallen on hard times or what?
Nitakujibu huko huko... 🙂
 
Aseee
Sasa kama yuko invisible wajuaje kama yuko Private room? Au wakesheshwa wewe na unashindwa kumwambia wahitaji break.

Hata mimi nimekwama hapo,

May be wahusika wanatumia technolojia ya asili ya kiafrika kama ile ambayo mlinzi wa Mkulu alikuwa anatatumia kumlinda...

Babu DC!!
 
Kuna watu wanashangaza sana. Yaani mtu umejiweka invisible humu halafu huchangii kwa sana siku hizi lakini kila siku unashinda kwenye PM.....

Ama kweli facts sometimes are stranger than fiction.

Kila ukitokea mara chache chache watu wanakuuliza mbona umepotea hivyo....kumbe wapi! Upo kila siku lakini unashinda kwenye PM na yule nanii....:smile-big:

Kaazi kweli kweli.
Kwani kuna katazo wapi kwa mtu kuwa kule upande wa pili?Binadamu aki-exercise his/her democracy taabu iko wapi au uanchotaka wewe ndo nasi tuangukie huko?"Free speech carries with it some freedom to listen. " -Bob Marley & The Wailers
 
Back
Top Bottom