Kusema kweli mwanamke ambae hana makalio apite mbali

Mkia mbwembwe tu,do maana mbuzi hakuzaliwa nao! Japo kuna hizi tafiti za wanazuoni wa kidigitali zinaonesha wanawake wenye mikia ya haja likely wanatotoa offspring wenye IQ kubwa...naendelea kuchimba chimba nijue uhusiano wa inye na IQ so as nitafute ma TO wawili watatu niangalie historia zao nijiridhishe!
Huu utafiti nimeusikia mara nyingi naanza kuvutiwa na nimeanza kuufanyia kazi.
 
Mungu atunusuru kizazi hiki! binafsi sina kazi na hicho unachoshabikia mtoa mada! Uumbaji upo chini ya mola!
 
Mkia mbwembwe tu,do maana mbuzi hakuzaliwa nao! Japo kuna hizi tafiti za wanazuoni wa kidigitali zinaonesha wanawake wenye mikia ya haja likely wanatotoa offspring wenye IQ kubwa...naendelea kuchimba chimba nijue uhusiano wa inye na IQ so as nitafute ma TO wawili watatu niangalie historia zao nijiridhishe!
Kama ingekuwa hivyo waafrica tungekuwa na IQ kubwa kuliko watu wote duniani lakini wapi? Na yule mchina asingeshika nafasi ya pili katika mtihanai wa taifa wa darasa la nne kwa kuwa mama yake ni flat screen?
 
Back
Top Bottom