Kusema kweli mwanamke ambae hana makalio apite mbali

Kusema kweli mwanamke ambae hana makalio apite mbali

Zamani nilikuwa najiuliza sana kwa nini watu wanapenda sana mattarco wakati kinachotumiwa ni koomer. Lakini nilipokuwa mkubwa nikaelewa kuwa mattarco yanachochea sana hamu. Mi mwenyewe flatscreen zenu hiyo zisipendi kabisa. Nikitumia basi tu itokee nikawa sina namna. Yale madude yana raha yake acheni tu. Msitushangae wanaume tunavyoyatolea udenda. Hamshangai wenzenu kibao wanatafuta hadi ya Kichina?
 
Not quite sure how legit this is, but 9 outta every 10 mamas blessed with some phat behinds, curves and what not, are believed to be blonde.
 
Kwa kweli wanawake wenye vi flat screen me siwezi kuwa NAE..hata nikikuta ameiangusha nainyanyua vizuri tu nampelekea...mwanamke tako sio sura nzuri halafu tako huna.....mi hata pesa kwangu haurambiiiii .
 
Mngejua walivyo emotional sasa, wengine wameshavua nguo na kukaa chiu mbele ya kioo kuangalia kama mizigo yao inakidhi haja za wanaume. Such are women, msiwaumize kihisia...
 
Msema kweli mpenzi wa mungu kama ilivyozoeleka na ukweli siku zote humuweka mtu huru.

Mimi mwanamke ambae hana mkia au makalio ya kueleweka anipite mbali hata awe na sura nzuri kiasi gani.

Mwanamke ambae hana mkia simuangalii mara mbili na hata ikitokea bahati mbaya nikatoka nae basi ni mara moja tu (simba akiishiwa nyama hula majani).

Flat screens kwa kweli hawana nafasi kwangu, usipokua na mkia hata ofa ya kinywaji sitoi.

Narudia kusema ukweli humuweka mtu huru, haya ni maoni yangu binafsi
503e47184d9d846a5327972437e3043e.jpg
 
Back
Top Bottom