Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Kwani msemwaji alikuwa malaika?ππππHadi sasa huyu mama tushamkataa kanda ya ziwa, hata akitumia policcm na TICCM lazma ieleweke kura zetu tutampa mtu ambaye atapambana nae 2025.
Sio kwa matusi haya kwa Hayati JPM anaongea kana kwamba hakuwa msaidizi wake wa karibu, shame on Her.
Mi kanikera sana! Hawezi kufanya vitu vyake mpaka amtaje Magufuli! Very stupid behaviour!Hadi sasa huyu mama tushamkataa kanda ya ziwa, hata akitumia policcm na TICCM lazma ieleweke kura zetu tutampa mtu ambaye atapambana nae 2025.
Sio kwa matusi haya kwa Hayati JPM anaongea kana kwamba hakuwa msaidizi wake wa karibu, shame on Her.
Kuna ubaya kujadili juu ya hili? Au mpaka jambo litokee?Kwani kuna jambo limetokea?
Kwani alimtaja jina mtu?Mbona mmetaharuki hivyo?Mmekula na kushiba ugali wa udaga kweli?Mi kanikera sana! Hawezi kufanya vitu vyake mpaka amtaje Magufuli! Very stupid behaviour!
Sasa unajadili jambo bila sababu ya msingi kwa nini?Huo muda si ungeenda kuanika udaga?Kuna ubaya kujadili juu ya hili? Au mpaka jambo litokee?
Kwani alimtaja jina mtu?Mbona mmetaharuki hivyo?Mmekula na kushiba ugali wa udaga kweli?
Jambo la msingi hulioni? Huoni kuwa kanda ya ziwa ndio kuna maamuzi ya kuweka dola?Sasa unajadili jambo bila sababu ya msingi kwa nini?Huo muda si ungeenda kuanika udaga?
π³Eh kisasi bin haki
Mnapandisha mapigo ya moyo bure.Yule "mpendwa" wenu hakuwa mtakatifu.Ifike mahali mkubali kwamba kuna mambo alipuyanga sana kwa udhaifu wa kibinadamu.ππππHapana yeye anaongea sana ndo maana kama umeangalia video alipokuwa anaongea watu wanamwangalia tu! Kwa kifupi huyu ndo alikuwa adui mkunwa wa JPM anajitia kuwa yuko halo kwa kukubalika!
Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?
Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.
Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.
Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?
Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.
Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.
Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
Nadhani kinachokusumbua ni ujinga wa kukaririshwa upumbavu. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa walipoikataa CCM ulikuwa na akili timamu?Falsafa ya uonevu, uuaji, upendeleo wa kanda ya ziwa ndo watanzania wataunga mkono? Labda wasukuma tu ila watanzania tumekataa falsafa zozote zile za uonevu hatuzitaki kabisa,,
Huko ni kujimwabafy tu.Kwa hiyo Kanda ya Ziwa tuiache ipige kura peke yake?Acheni kukuza mambo ya kawaida sana.Pigeni kazi!Kwanza nani aliwaambia mtazame luninga wakati wa kazi.Huo ni uvivu na uzembe.Jambo la msingi hulioni? Huoni kuwa kanda ya ziwa ndio kuna maamuzi ya kuweka dola?