Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

Mgombea yeyote atakayebeba falsafa za JPM kwa dhati, ataungwa mkono na Watanzania wengi, siyo Kanda ya Ziwa pekee.

Falsafa ya huyo dhalimu ilikuwa kuteka na kushinda kwa kupita bila kupangwa. Uzuri hata majizi ya msoga line wanajua kura halali zilikuwa ni kiasi gani, na huyo dhalimu hakupata kura zozote za maana huko kanda ya ziwa mnakotishia nako wanaume.
 
Dhalimu ameshanajisi box la kura, hakuna mwananchi anayejtambua ana muda tena na kupiga kura. Dhalimu mwenyewe hakushinda kwa kura halali 2020. Na kwa taarifa yako ile mbegu mbaya aliyootesha dhalimu kwenye chaguzi za nchi hii, ccm haitakaa iheshimu tena box la kura, labda yatokee machafuko. Hiyo kusema kanda ya ziwa sijui ina kura nyingi ni kujilisha upepo tu na kutishia watu wazima nyau.
Tindo natamani 2025 iwe karibu na uchaguzi ufanyike. Hayo machuki yako dhidi ya JPM unajirisha upepo tu.

Hata Jakaya anajua fika kuwa mwaka 2005 watu wa kaskazini walimkataa na kumnyima kura na kanda ya ziwa wakampa urais.

Wewe upeo wako ni kiduchu sana...
 
Dhalimu angekuwa anakubalika angeheshimu box la kura. Shetani yoyote namchukia vibaya.
 
Vuta historia ya mwaka 2005 wewe na ndugu zako wa Moshi mlivyokataa Jakaya. Alafu fuatilia watu wa Kanda ya wanaume walimpa Jakaya urais
 
Tindo natamani 2025 iwe karibu na uchaguzi ufanyike. Hayo machuki yako dhidi ya JPM unajirisha upepo tu.

Hata Jakaya anajua fika kuwa mwaka 2005 watu wa kaskazini walimkataa na kumnyima kura na kanda ya ziwa wakampa urais.

Wewe upeo wako ni kiduchu sana...

Dhalimu angekuwa anakubalika angeheshimu box la kura. Shetani yoyote namchukia vibaya.
Na kama anakuwa jirani unamtemea mate huku unamtweza.😂😂😂😂
Kabisa, eti hawa maboya wa sukuma gang wanatishia na kanda ya ziwa, inakuwa as if watu hatukuona ile idadi ndogo mno ya wapiga kura,na sababu hasa ni tabia za dhalimu kwenye demokrasia.
 
Dhalimu ameshanajisi box la kura, hakuna mwananchi anayejtambua ana muda tena na kupiga kura. Dhalimu mwenyewe hakushinda kwa kura halali 2020. Na kwa taarifa yako ile mbegu mbaya aliyootesha dhalimu kwenye chaguzi za nchi hii, ccm haitakaa iheshimu tena box la kura, labda yatokee machafuko. Hiyo kusema kanda ya ziwa sijui ina kura nyingi ni kujilisha upepo tu na kutishia watu wazima nyau.
Endelea kujilitekenya na kujicheka mwenyewe,
 
Vuta historia ya mwaka 2005 wewe na ndugu zako wa Moshi mlivyokataa jakaya. Alafu fuatilia watu wa Kanda ya wanaume walimpa Jakaya urais

Wakati huo box la kura lilikuwa linaheshimiwa kwa mbali, na bado ccm ilikuwa na wafuasi. Toka uchaguzi wa 2010 kizazi cha ccm kilifikia mwisho. Hadi kufikia 2020 dhalimu akaamua kunajisi kabisa uchaguzi. Hao kanda ya ziwa wenyewe hawaitaki ccm, usidhani hatujui ukweli. Alichofanikiwa dhalimu ni kuvunja nguvu ya umma kujitokeza kwenye box la kura. Na kwa taarifa yako chaguzi zote kuanzia ule wa 2020 wapiga kura hawatakaa wavuke 10m, labda kufanyike mabadiliko ya kweli ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Tindo natamani 2025 iwe karibu na uchaguzi ufanyike. Hayo machuki yako dhidi ya JPM unajirisha upepo tu.

Hata Jakaya anajua fika kuwa mwaka 2005 watu wa kaskazini walimkataa na kumnyima kura na kanda ya ziwa wakampa urais.

Wewe upeo wako ni kiduchu sana...
Kikwete ilifikia kila akienda mwanza anazomewa,mpaka aambatane na waziri wa ujenzi,akienda peke ake ni polisi ndio wanamsaidia
 
Falsafa ya uonevu, uuaji, upendeleo wa kanda ya ziwa ndo watanzania wataunga mkono? Labda wasukuma tu ila watanzania tumekataa falsafa zozote zile za uonevu hatuzitaki kabisa,,
Uonevu unategemea wewe ni nani. Kwa mtanzania maskini hakuna uonevu mkubwa kama tozo inayomnyang'anya mtu mwenye matatizo pesa aliyotumiwa na ndugu yake kutatulia matatizo. Serkali ya SSH imeamua kuwanyang'anya maskini wanaotumiwa pesa na watoto au ndugui zao kwa kuongeza tozo kwa kiasi kikubwa. Tena katika hizo tozo "the less money is sent the more you pay comparatively". Unajuwa kwenye uongozi, unatakiwa uwe na namna yako ya kuongoza bila kulinganisha au kujipendekeza. Hiyo haitakusaidia, maana unakuwa unajenga tabaka na kujionyesha kuwa wewe hufanyi kama yule, lakini hapo hapo unadai hu7kuja kitengua torati.
 
Back
Top Bottom