Tundu Lissu: Wananchi tuungeni mkono kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi mkuu 2025 ili tuiondoshe CCM madarakani na kujitawala!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,995
Katika salamu zake za kuhitimisha ziara ya Kanda ya Ziwa Victoria makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amewashukuru Wananchi Wote kwa mahudhurio makubwa katika mikutano yao.

Tundu Lisu amewaomba Wananchi wajitokeze kwa wingi na kuipigia kura Chadema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi mkuu 2025.

Lisu amesisitiza ije mvua lije jua 2025 Sanduku la Kura litaiondoa CCM madarakani.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Kabisa ni wakati mzuri CCM iondoke!
 
Kwa hii NEC CCM asahau
 
Kwa tume ipi ya uchaguzi?
 
Watanzania,akili ya kijaribisha mambo,it could cost our nation!,hivi kwa akili tulivu kabisa hawa watu mnawaonaje kwa tathmini zenu,na bongo zenu.
 
Wameamua tena kutembea barabarani KICHWA kikiwa kimesahaulika nyumbani.

Ile cartoon ya kipanya inahusika hapa.
 
Katika salamu zake za kuhitimisha ziara ya Kanda ya Ziwa Victoria makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amewashukuru Wananchi Wote kwa mahudhurio makubwa katika mikutano yao.

Tundu Lisu amewaomba Wananchi wajitokeze kwa wingi na kuipigia kura Chadema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi mkuu 2025.

Lisu amesisitiza ije mvua lije jua 2025 Sanduku la Kura litaiondoa CCM madarakani.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
FB_IMG_1681189841254.jpg

Mwingereza hakuwahi kufanya hivi.
 
Siku zote unaleta hapa cheap information, za watoto wadogo. Unanukuu watu tu bila kuwa na habari ya kwako intuitively
 
Katika salamu zake za kuhitimisha ziara ya Kanda ya Ziwa Victoria makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amewashukuru Wananchi Wote kwa mahudhurio makubwa katika mikutano yao.

Tundu Lisu amewaomba Wananchi wajitokeze kwa wingi na kuipigia kura Chadema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi mkuu 2025.

Lisu amesisitiza ije mvua lije jua 2025 Sanduku la Kura litaiondoa CCM madarakani.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Acha upotoshaji wa kijinga, kwamba Lisu aseme watu wakaitoe CCM kwa njia ya kura kwa tume na katiba hii?
 
Siku zote unaleta hapa cheap information, za watoto wadogo. Unanukuu watu tu bila kuwa na habari ya kwako intuitively
Usipanic Hii kauli ya Chadema kushiriki Uchaguzi mkuu na kushinda Lisu kaisisitiza hata mkoani Mara

Ni Mjinga tu anayeamini Chadema haitashiriki Uchaguzi mkuu kwa Tume Hii Hii ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom