Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM?

  • Bernard Membe

    Votes: 70 15.3%
  • Edward Lowassa

    Votes: 189 41.4%
  • None of them (Labda mwingine)

    Votes: 198 43.3%

  • Total voters
    457
  • Poll closed .
Hizi kura za maoni zipigwe marufuku. Zinawafundisha watu jinsi ya kupiga kura. Bernadeta Kilian na hao experts na spin doctors wote ni marafiki. They conspire to make people vote as dertemined by the pollsters.


Bw. Andrew Nyerere tuna uhuru wa kutoa maoni kwa njia yeyote, iwe kwa kupiga kura au kuongea, au kuandika nk, wewe kama huwezi tuwachie uwanja na kaa pembeni, swala la kupiga marufuku upigaji wa kura wa maoni ya wanajamii forum hilo ni wazo lako mwenyewe. Lowassa is the only one who will lead as the prisident of this country 2015. Achana na siasa uchwara.
 
  • Thanks
Reactions: b2k
Bw. Andrew Nyerere tuna uhuru wa kutoa maoni kwa njia yeyote, iwe kwa kupiga kura au kuongea, au kuandika nk, wewe kama huwezi tuwachie uwanja na kaa pembeni, swala la kupiga marufuku upigaji wa kura wa maoni ya wanajamii forum hilo ni wazo lako mwenyewe. Lowassa is the only one who will lead as the prisident of this country 2015. Achana na siasa uchwara.

mkuu nakuunga mkono kwa hoja hii, kimsingi watu wanaukataa ukweli tu ila Tz itaongozwa na Lowassa namkubali na najua tutajifunza kuwa na akili tu.
 
Lowassa is the Best ever president to be...!!!
 
EL is the BEST..... Membe ni mswahili tu not result oriented guy....!!
 
All are the best of desperadoes………………… Let God save the un-sinners! (Tanzania)
 
Edo N Lowasa

Kwasababu ni mtu mwenye uthubutu wa kujaribu.
Anashaurika
Msikivu
Mvumilivu
Mpiganaji
Amekomaa kisiasa/anaijua vizuri siasa

La mwisho linahusu ufisadi naomba tuelewane kitu kimoja, hata umweke mchungaji/padre/shekh wataiba tu! Angalieni Kenya na kashfa zao mfano anglo gold hizo epa na meremeta ni cha mtoto lakini angalieni Nairobi ilivyo sasa sisi tumezingua meli kuukuu wao wemeweka Nairobi Commuter Train na flying over zenye njia nne!

Tunataka kiongozi atakae weza kusogeza mbele nchi na kuwaneemesha wananchi!
Ni kweli inawezekana wote wakaiba hata km akiwekwa mchungaji. Sheikh ndo usiseme! Lakini wanaweza kutofautiana viwango. Mfano halisi ni ule wa richmond ambapo mapacha watatu lowasa kikwete na rostam waliamua kujitengenezea kampuni feki na kujichote milioni 55 kila siku. Sasa hapo bado utasema mwizi ni mwizi?
 
Msiwe na haraka kuweni na subira mwaka 2015 sio mbali. Ni mwaka wa kilio kwa Chadema.
 
Mh.EDWARD LOWASSA ANAFITI VIZURI VIATU VYA URAISI
SABABU,
  1. ANA UTHUBUTU WA KUMWAJIBISHA YEYOTE.
  2. MVUMILIVU.
  3. MUWEZESHAJI KWA WENGINE.
  4. MCHAPA KAZI.
  5. HANA BLAAx2.
  6. NI MFUATILAJI WA KILE ANACHOAMINI/MTEKELEZAJI.
  7. SI WA KUYUMBISWAx2 KIMTIZAMO AMA KIFIKRA.
  8. ANASHAURIKA.
  9. MWEPESI WA-RESPONSE PINDI ANAHITAJIKA KATIKA JAMII.
  10. MPENDA MAENDELEO YA UJUMLA.
  11. NI KIONGOZI ASIYEJISIKIA,ASIYEJIGAMBA WALA KUJIKWEZA KWA WAKUBWA/WENZAKE.
ZIPO SIFA NYINGI SANA INGAWA WALIO WENGI WANAMUONA ETI NI FISADI WA NCHI ILIHALI MAFISADI WAPO WENGI SANA UKIANZIA KATIKA NGAZI YA FAMILIA ZETU KWENDA JUU.KIUKWELI EL SI FISADI KAMA WANAVYOFIKRIA,NA HATA WALE WANAOMCHOKONOA WANAFIKIRI ETI ATAKURUPUKA KUROPOKA ILI WAPATE MWANYA WA KUBLACKMAIL ILI WAO WAWE JUU KISIASA.
 
Yaani membe amezidiwa hadi na none of them?
 
Kama ni lazima kuipigia CCM, na hakuna option kwa wagombea wa vyama vingine, definetly i will vote for EDO Lowassa... I wish angekuwa upande wa pili wa shilingi...

Wengi humu ndani hawamjui edo, eti fisadi! nani asiejua kuwa deal la richmond lilikuwa la miraji kikwete n co.? Edo aliamua kuokoa jahazi nchi isiyumbe...
Vijisent vya edo vinajulikana kuwa soon baada ya azimio la zanzibar yeye alichangamka kwa kupata mkata mnono kwa kuwa pangishia SA High Commission pale masaki kwa rate za ulaya!! kuanzia hapo akaanza ujasiriamali mdogo mdogo maana TZ fursa kibao! wenzake bado walikuwa kwenye ombwe la ujamaa madem na misifa kibao...yeye kwakuwa ni visionary leader na mungu kamjaalia familia yenye nidhamu ikawa rahisi kuprogress kwa haraka kwenye ujasiriamali...Edo hayupo kwenye deal la EPA, Meremeta, Deep Green, Twiga, Mikataba ya kifala ya madini; Edo ni Msafi PERIOD.

Bado Wtz tunakumbuka jinsi chinga zee la ng'ombe wa USWIS alivyoingiza nchi kwenye mikataba mibovu ya madini, kuuza viwanda karibu vyote tena vya maana kama TCCC, TBL, WAZO, NBC, Tanga Cement nk...Dunia kote huwa wanabinafsisha production siyo mali zisizo hamishika kama majengo, lakini MKAPA aliuza kila kitu kwa bei ya chee. In return WB na IMF wakamsapoti kidogo kwakuwa alikubaliana na mashrti yao ya kipumbavu...
Sorry to say JK alirithi nchi yenye matatizo kibao lakini yeye badala ya kumuexpose Chinga akang'ang'ania kutalii huku Edo akiendelea kufunika udhaifu wake! Mara JOKA LA MDIMU likamtengenezea fitna ooh Edo amepanga kukupindua na ushoga mwingiii!
Leo hii bado tuko kwenye ombwe la kuboresha mikataba mibovu inayoendelea kuigharimu nchi, Eti MEMBE nae anataka kuwa raisi tena kutoka kulekule!!! lengo likiwa kuongeza ng'ombe wengi USWIS!...Watanzania wa leo si wajana, tunatambua pumba na mchele. Mapungufu ya Edo yanavumilika ukilinganisha na Faida ya yeye kuwa madarakani kama Rais... Edo ni kiongozi mweye kudeliver!!!!
 
Lowasa is the best,membe ni mnafiki mkubwa,mtu wa majungu,anaendeshwa mpaka na mama salma,ni dhaifu kuliko huyu wa sasa kwa kifupi bora tumpe heche au mtatiro kuliko hili joka la mdimu.
 
Msiwe na haraka kuweni na subira mwaka 2015 sio mbali. Ni mwaka wa kilio kwa Chadema.

mimi nafikiri ni 2015 ni mwaka wako wa kulia maana ccm ikishapigwa chini automatically jina lako litaondolewa kwenye payroll ya Nape sasa sijui utakula wapi tena? anza kujiandaa tafuta hata kamtaji au shamba 2015 ii karibu sana!
 
Sidhani kati yao yupo mwenye nia nzuri na nchi yetu. Wote wanafikilia nini watatendewa na Tanzania na si kitendea Tanzania.
 
Duhngoja tufuatilie mtanange huu tuone mwisho wake
 
Back
Top Bottom