Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM?

  • Bernard Membe

    Votes: 70 15.3%
  • Edward Lowassa

    Votes: 189 41.4%
  • None of them (Labda mwingine)

    Votes: 198 43.3%

  • Total voters
    457
  • Poll closed .
Watani wangu wa migombani wana msemo: "Kuliko uzae mtoto awe 'Tondo' bora uzae mtoto awe 'Mbafu' !!!" Jumlisheni na za kwenu!
 
Kwa jInsi nchi Ilivyokaa kwa sasa tunahitaji kiongozi Kama LOWASA ili atulekebishie mambo
 
Membe ni dhaifu mara dufu kuliko JK, bora ya mamvi kwani yeye ni mtendaji zaidi kuliko domo kaya.
 
Lowassa anafaa zaidi. Hakuna anayefaa katika ccm zaidi ya Lowassa !
 
ni lowasa pekee jaman hakuna cha membe-mnafiki,,lowasa anastahili kuwa mgombea wa ccm mwaka 2015,,kati ya watu 100 ukiongea nao 90 kati yao utasikia wanakwambia ccm mpango mzima ni lowasa,10 watakwambia mara membe,mara asha-rozi,hoo mara salim a salim,,kiukwel lowasa atapita kama atagombea urais
 
Hakuna kiongozi tena CCM wote wamemezwa na mfumo wa chichiem ina wenyewe.
 
Membe ni fisadi mkuu alikula pesa za walibya kwa kuuza bahari beach kinyemela na anapangshia nyumba za balozi watu bnafsi anakula pesa..pia kwenye miradi ya gesi ana ten percent...pili ni dhaifu na ni muoga hatufai...tatu hana msimamo ni joka la mdimu...amedumaza maendeleo ya kusini kisa wabunge wa kusini na wananchi hawamtaki..wanaccm wenyewe walmkataa kwenye nec...hivi kama hadi january,mwigulu,shgela watoto wadogo walimshnda kwenye nec anataka urais wa mtwara au wamtama..uliyeleta hii hoja ukajpange umekuja kupma upepo mwambie bm mbio za urais ziliishia dodoma kwenye nec kumlnganisha membe na lowasa ni sawa na kumlinganisha rais obama na lipumba...lowasa yuupo level nyingine hafanyi siasa za maji taka ni za mipango na mikakati
 
Ni kweli inawezekana wote wakaiba hata km akiwekwa mchungaji. Sheikh ndo usiseme! Lakini wanaweza kutofautiana viwango. Mfano halisi ni ule wa richmond ambapo mapacha watatu lowasa kikwete na rostam waliamua kujitengenezea kampuni feki na kujichote milioni 55 kila siku. Sasa hapo bado utasema mwizi ni mwizi?

Ndg kuhusu El Richmond siyo ya kwake ila ni ya mh jk na ndio aliyeleta hata dowans si uliona mwarabu alikwenda ikulu?
 
bora kuwa na mwizi anaeleta maandeleo na uwajibikaji kwa watendaji serikalini kuliko kuwa na Raisi mwenye familia nzima wezi halafu maendeleo hayaonekani hata uwajibikaji hakuna.
 
Viatu vyote vibovu lakini chagua kimoja! Hahahahahaha
 
Kwa jInsi nchi Ilivyokaa kwa sasa tunahitaji kiongozi Kama LOWASA ili atulekebishie mambo

Hapana kwakweli Magamba yote yatuachie Nchi yetu,tunahitaji real changes na hiyo itawezekana tu kwa kuiondoa CCM madarakani
 
Back
Top Bottom