Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM?

  • Bernard Membe

    Votes: 70 15.3%
  • Edward Lowassa

    Votes: 189 41.4%
  • None of them (Labda mwingine)

    Votes: 198 43.3%

  • Total voters
    457
  • Poll closed .
Kwa maoni yangu EDWARD LOWASA ndo anafaa kuwa RAIS wa Tanzania baada ya Kikwete kwa kuwa anajiamini sana,na ni mtu wa kudhubutu jambo aonapo inafaa kufanya hivyo,kitendo ambacho ni sifa mhimu kwa kiongozi wa nchi popote Duniani.
 
Lowasssa ni Fisadi. Membe ni mwoga. hana maamuzi, nchi inaweza kuwa mbaya zaidi kwa kuwa na kiongozi asiyekuwa na maamuzi. kwangu mimi Lowasa anaweza kuwa commonder in chief lakin kwa ufisadi alionao, basi hafaikuwa Rais
 
Hakuna hatari mbaya zaidi kama nchi yoyote duniani kuwa na rais mwongo, mfitini na mnafiki. Huyo ndiye Membe. Anayefaa ni EL ambaye tatizo lake kubwa ni kusingiziwa ufisadi ulioshindikana kuthibitishwa. Kisa? Ana maamuzi, siyo tu ya kiuongozi lakini pia hata ya kuamua kufanya ujasiriamali, uwekezaji na ufugaji unaomletea kipato kizuri sana na kuwafanya wavivu wasiokuwa wabunifu na wambeya kumchukia na kumwita fisadi.
 
Pamoja na hayo Lowasa mpaka sasa ni 41% Labda mwingine 42% na Membe 17%.
 
Lowasa ni fisadi mkuu, ana kashfa nyingi zinazomzunguka, huyu jamaa hafai kabisa kuwa kiongoz wa nchi. kwa upande wa Membe mi sijasikia kashfa yoyote toka kwake na pia simjui kiundani zaidi, huyu angalau ana nafuu kidogo.

Hata huyo mwenye unafuu kidogo sidhani kama ataiweza Chadema!
 
jamani swala la rais ajaye tusijadili wa kutoka ccm maana hapa walipotufikisha panatosha kwa umaskini uliyopindukia,swala ni slaa wasaidizi wake wajifunze kutoka ccm jinsi walivyoiaribu nchi ,ili wao waijenge
 
Back
Top Bottom