Wadau nawakilisha hili suala ili kupata kura za maoni za viongozi hawa ndani ya chama cha CCM.
Toa hoja na mawazo yako na upige kura pia kuona nani anafaa kati ya wawili. Zingatieni kuwa hatushindanishi na viongozi wengine ambao kila mmoja amekumbatia moyoni kuwa anafaa. Haijalishi wewe ni Chadema au CCM inachojalisha ni unaona yupi bora kati ya hawa wawili. Kuwa hata kama wote ni devils who is the lesser devil kati ya wawili?
Ni yupi unaona atafaa ama niseme nani angalau anatia matumaini kuwa walau anafaa kuteuliwa kuweza kuongea nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM kwa mwaka 2015?
Ni vema ukimataja utowe walau sababu zako ambazo unaona ni msingi wa maamuzi yako. Wadau hasira na pumba naomba ziachwe nje ya hii thread na tuweze kupata jibu thabiti.
Nawasilisha.
Mh. Edward Ngoyai Lowassa is the coming President of the United Republic of Tanzania 2015, kama CCM hawatamsimamisha Lowassa, CHADEMA ni opportunity yao kuichukuwa nchi hii
Bora lowasa kuliko joka la mdimu membe
Devils, who cares. Sichagui
mashetani mimi.
Hakuna chaguo.. katika pool ya ccm wanachama milion 4 hizo ''devils''
mbili ndiyo majembe yao wanayotanguliza... Surphuric acid na cynide ipi
iwezayo kumpatia mgonjwa nafuu ? Ni dhahiri moja inauwa palepale na
nyingine inauma taratibu na utumbo unakatika huku mhusika hakishuhudia
maumivu lakini wate atakufa...
Hitimisho wote hawafai kwa mstakabali wa Tanzania tuipendayo... bring
new face no these not those ''dressed chimpasee''
Mnafiki nani mkuu?hebu funguka kidogo!Hana lolote huyo, huyo ni mnafiki. Kwa nn hajawataja hao mafisadi ambao alisema anawajua. nawatahadharisha watanzania tutakuwa tumepotea tukimchagua huyu mnafiki
Sasa mchague Membe lakini kumbuka walibya nao watakuja kudai chao tena na usumbufu.bora membe aisee, hatutaki kuingizwa kwenye maden mengine ya ajabu
Mbona kila nikijaribu kuvote inagoma? Twavote vp kwani?
nafikiri tatizo hili litakuwa kwako tu,mbona wengine wavote bila tatizo.
nicas mdogo wangu, nakuambia hakuna mtu mwenye nguvu na ambaye atagombea uraisi zaid ya lowassa na nakuhakikishia ukitaka ccm ishinde imsimamishe huyu ila ikiloba step tu imekula kwao.Hakuna hata mwenye nafuu hapo. Wote ni maiti. Tofauti yao ni kuwa wamekufa siku tofauti. Hata kunuka kwao ni tofauti.