GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,487
Reaction score
14,064
Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty.

Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu.

Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii nchi.
 
Kampeni za kiwango hizi.....hahhaa
 
Kitakachofuata wagonjwa watafia mapokezi.....
Mwiba wa samaki unakukwama kooni wakati nyumbani Una sh. 7000 Tu, ukifika hospitali wanajua hii njemba tukiiponyesha/ ikifa madai hadi mkuu wa wilaya aingilie Kati...., wanakuacha Hadi ulipe ukifa maiti haidaiwi chochote kwa mujibu WA CCM....na hospitali haina hasara!
 
Huyu Bibi wa Kizimkazi kazingua sana! Kupiga marufuku kuzuia maiti hospitali za umma kunahitaji mpaka uchaguzi mkuu? Na je kunahitaji bajeti?

Hili jambo linahitaji tamko tu sasa hivi! Hakuna kiongozi hapa!
Screenshot_20250615-124118~2.png
 
Huyu Bibi wa Kizimkazi kazingua sana! Kupiga marufuku kuzuia maiti hospitali za umma kunahitaji mpaka uchaguzi mkuu? Na je kunahitaji bajeti?

Hili jambo linahitaji tamko tu sasa hivi! Hakuna kiongozi hapa!View attachment 3457011
Kwa maneno mengine ameruhusu hospitali ziendelee kuzuia maiti hadi uchaguzi mkuu ufanyike!
 
Hizo Ahadi ni kwa walalahoi na poverty victims +uneducated society
 
Mbona tumeambiwa kwamba "hutba" yake imeitetemesha dunia?
Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty.

Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu.

Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii nchi.
 
Ni kupumbazwa kuliko pitiliza.

Marufuku pekee bila kutungiwa sheria ni kufanya wananchi mazwazwa.

Rais hata apige marufuku jambo fulani as long as lipo kisheria haitasaidia kitu.
 
umasikini ndio mtaji wao
Na ujinga wa watanzania, bado watanzania wengi ni wajinga sana...napinga hoja ya kumuasa Sa100 apunguze umaskini wa watanzania, ni kumuonea sa100 bure kwani hana upepo wa mambo mazito namna hiyo!
 
Wameamua kutibu dalili badala ya chanzo cha ugonjwa
 
Labda kwa sababu kidini maiti anatakiwa kuzikwa haraka haraka
 
Kumbe alikuwa anajua akaweka kiporo ili alitumie kama ahadi kipindi cha uchaguzi, duh!
 
Samia anajua akiingia madarakani wewe MWANANCHI mpiga kura UTAKufa ndio maana anakuidi yakuwa ukifa utazikwa na deni LAKO yaani hautozuiliwa kamwe.

Mimi sifi Leo nasema mkipigia kura akawa Rais. Ikatokea ikampendeza Mungu akanipenda nikakae nae kushoto niwe mwandishi wake mzuri uko mbinguni basi msinizike na deni la hosptali tafadhali nilipieni
 
Back
Top Bottom