Kupata mtoto

Una visa vya madenge


Hapo red moyo umeruka juu, nakuja jamani.

Weeh, hebu kaa mbali. Vinavyoelea vimening'inizwa ujue

yaani ulikuwa hujastukia nilivyokuwa mkali kule love connect? Na smooch na kudeka?

Paw anafanya yote hayo akisaidiana na wifi AshaDii. Weeh njoo udoee mtori

asante kwa kunilinda baba mtoto. Hongera tena na tena. Sasa ni kata mti panda miti, si tulikubaliana sita eeh? 5 to go!
 
hongeren,hamna mtoto anayekuja kwa bahati mbaya,kila mtoto mungu ana makusudi nae,kila la kheri
 
  • Thanks
Reactions: Paw
mimi nilipopata mtoto wangu YNAMORATA ndan ya mwenz mmoja nilitata pesa nikanunua kiwanja na baada ya miez sita nikapata pesa nikajenga mpaka nikapaua, nikapiga plasta na kuweka dirisha na milango, na baada ya mtoto wangu kutimiza mwaka, nikapata hela nikazungusha fens na sasa anaelekea miaka miwil juz kat nimepata pesa tena nataka nipige rang nyumba yote na itakayobak niinunulie kiwaja kingine il nijenge nyumba ya pili. Kwel kila mtoto anabaraka zake na wazaz wengine wanapata baraka na mafanikio kupitia kwa watoto wao. Nimememaliza
 
Kwa kweli mtoto ni furaha,since nimekua na mtoto hata stress za kazi huwa zinaishia getini,nikiingia tu nyumbani weee full furaha,kucheka maana mtoto wangu.ni.mcheshi,mwongeaji na ana vituko vya kila aina
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom