Kupata mtoto

Weeh, hebu kaa mbali. Vinavyoelea vimening'inizwa ujue
Hivi mke wa Paw humu ndani ni nani?? Loh btw-hongera sana mkuu mungu awakuzie na mumlee katika maadili mema.Best wishes

yaani ulikuwa hujastukia nilivyokuwa mkali kule love connect? Na smooch na kudeka?
Hongera sana Paw, ni furaha sana kuona fotokopi yako duniani.

Na kiukweli furaha hiyo huzidi na huwezi ona mzigo kulea.

King'asti mbaya sana, hujanishirikisha?

Paw anafanya yote hayo akisaidiana na wifi AshaDii. Weeh njoo udoee mtori
Natoa twisheni ya kuogesha vichanga, kufunga pampazi, kuwavalisha, na kunyonyesha usiku bila kuchoka.

asante kwa kunilinda baba mtoto. Hongera tena na tena. Sasa ni kata mti panda miti, si tulikubaliana sita eeh? 5 to go!
Mkimnunia King'asti wangu mjue mmeninunia miye
 
Last edited by a moderator:
Baada ya likizo ya miezi mitatu, kitu na box. Usihofu shemeji
Paw hongera kwa majaaliwa hayo, pia jitahidi baada ya mwaka unaongeza mwingine...! weka malengo endelevu...nami nilifanya hivyo!

hebu acha uvivu mtoto wa kike. Tunataka watoto 6, sasa na umri huu mayai yameishia kwenye kusaka phd, yaani kila mwaka mimba na mtoto. Ukiniona na mimba hutajua ni ya pili ama ya nne.
ningekuwa na bunduki ningekupiga ujue?!

Unadhani kuwa na mimba raha? Unakuwa kama juisi za yeboyebo.
 
Last edited by a moderator:
ningekuwa na bunduki ningekupiga ujue?!

Unadhani kuwa na mimba raha? Unakuwa kama juisi za yeboyebo.

nasisitiza tena Paw, ikiwezekana akimaliza miezi 3 atoke na nyingine, Kongosho wajua haya mambo hadi unafikisha 40 nk eti unazaa, unazaa nini? una unganisha ikiwezekana kabla ya 40 umemaliza mambo ya kuzaa unaanza kula maisha....!
Kongosho nakwambia mimi nimeunganisha balaa nina 16 years 8 years,5 years ,3years na 4 months nimemaliza!
 
Mkuu mi nikajua pacha wa nje!!!!!
Kumbe tukiitwa "wa mwendo kasi" we usije!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Hongera sana Paw kwa kupata mtoto ambaye umempokea kwa furaha.... hakika huyo atafanyika baraka katika familia yenu.... Hongera zaidi kwa mkeo ambaye kiuhakika kafanya kazi kubwa sana, una haki ya kumsaidia kwa kadiri uwezavyo sasa, kiukweli kafanya kazi kubwa sana......
Best King'asti siku nyingine uwe unatutaarifu in advance, kwani hutaki tuje kuleta beseni na kigodoro? hata kama unaishi masaki, tutakuja huko huko........
 
Last edited by a moderator:
Shkamoo mwalimu

Ila kweli, ukiacha kwa muda mrefu inatia uvivu, afu zile morning sickness hazivumiliki zaidi kadiri umri unavyokwenda. Ila kaa ukijua kiboko ya mwanamke ni mimba, mwezi mzima sista duu hajafumua yeboyebo.

Nyie haya tu, si mmeshika mpini bana.

Back
Top Bottom