Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kweni kuna mtu amelazimisha mpande treni? Si kuna njia nyingine za usafiri? Sasa watu mnatokwa mapovu ya nini?
Kila mtu ana haki ya kufanya anachokipenda sasa iweje nyie muwaone wanaopanda treni wajinga?
Kweni mnawasaidia kwa lolote?
Achani kujifanya wajuaji bhana
Hao Jamaa ni pinga pinga
 
Si tun Ndege kiongozi?
Boing na Airbus?
Au sio za wanyonge
Kama una haraka unapanda ndege sasa usitake kuwalazimisha kila mtu apande ndege au apande basi wakati kila mtu anaweza chagua anachoona kinamfaa.
 
Usisahau atakula mara ngapi kwa masaa hayo na atakunywa mara ngapi? Bila kusahau na muda alioupoteza. Utakuta nauli ni nafuu lakini katumia zaidi ya aliyepanda basi.

"Cheap is expensive".
Hata akila Mara 2 lakini kwa bei inayoeleweka na Chakula kinachoeleweka.
Hivi ushawahi safiri hiyo njia kwa bus alafu ukale chips za 7000 pale Kilimanjaro hotel au Liverpool alafu ukaridhika kabisa?
 
Na hayo mabasi ya luxury unayoyasifia ni yapi? Hapa Tanzania kuna bus la luxury? Lipi hilo? Mkuu unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo na exposure ndogo bora unyamaze tuu. Eti full entertainment.. kuna bus lenye full intertainment bongo..??🤣🤣
Huyu jamaa ni kichekesho haeleweki hata point yake ni ipi
 
Kwahiyo unadhan treni za hapa dsm hiz za Mwakyembe hazifanyi kazi ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na hiyo treni ya kwenda Moshi ni mpya, behewa zimeanza kubeba abiria kwa mara ya kwanza hapa nchini jana
Mwili mpya sura za kizee,mabehewa ndio mapya ila vichwa ni chakavu vile vya kizamani
 
Hata akila Mara 2 lakini kwa bei inayoeleweka na Chakula kinachoeleweka.
Hivi ushawahi safiri hiyo njia kwa bus alafu ukale chips za 7000 pale Kilimanjaro hotel au Liverpool alafu ukaridhika kabisa?
Mbona hujaweka bei za vyakula ndani ya treni? Mbona hujaongelea gharama za muda utaoupoteza ndani ya treni? Au muda kwako hauna thamani?

Kama ni mtalii tu na haujawahi kupanda treni basi panda us tarehe zile class za juu, bei zake unakifahamu? Lakini kama maisha ni magumu sana na ni lazima "ukahesabiwe" basi huna budi ustahamili tu hayo masaa na njaa yake na adhabu za kusafiri kwa muda mrefu.

Hongera sana.
 
Kwahiyo baada ya kufufuliwa hiyo treni ndo Leo watanzania mnajifanya mnajua dhamani ya muda?

Wewe ambao muda wako unadhamani kwa masaa 16 unaingiza kiasi gani? Mpaka unaona wanaopanda treni wotee wajinga.

Kama una haraka sana si unapanda ndege unawahi sasa kwanini mnaumia sana na hawa wanaopanda treni? Hebu jaribuni kuheshimu machaguzi ya watu.
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Tunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?

Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?

View attachment 1284152
Kama walikuwa wanatumia magari binafsi ilikuwa inakuwaje inapofika tarehe 21 mabasi ya kwenda moshi yanajaa, mpaka coaster zinazofanya daladala hupewa kibali cha kusafirisha abiria.
 
Kwahiyo baada ya kufufuliwa hiyo treni ndo Leo watanzania mnajifanya mnajua dhamani ya muda?

Wewe ambao muda wako unadhamani kwa masaa 16 unaingiza kiasi gani? Mpaka unaona wanaopanda treni wotee wajinga.

Kama una haraka sana si unapanda ndege unawahi sasa kwanini mnaumia sana na hawa wanaopanda treni? Hebu jaribuni kuheshimu machaguzi ya watu.

= thamani

Mimi Mtanzania wa kupachikwa tu, mimi ni Mtanganyika. Kumbuka hilo kijana.

Thamani ya muda haipo kwenye "pesa" kijana, thamani ya muda ni "priceless".

Kama hauijuwi maana yake nini basi itafute.

Iliwa huielewi thamani ya muda utakuwa hata miadi huielewi thamani yake.

Pole sana.
 
Itakaa njiani kwa Saa 16.
Wataipaki tu
Hardly ni masaa 13 na nusu tu. Inatoka Dar saa kumi kamili moshi inafika saa 11 na nusu alfajiri. Wakizoea njia itakuwa ni masaa 12 tu tena inatembea usiku.
 
Back
Top Bottom