Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Hakuna kitu kama hicho, wala hakitotokea siku za karibuni

Hakuna bus linafika moshi saa saba , endapo ikitokea linafungiwa , hiyo iliwezekana enzi hizo sio sasa

Naishi mwenge, nayaona kila siku hapa yanapita jion, gari inatoka tanga hapo inapita saa 7... Inayotoka moshi au arusha ipite saa nane ?? Ni saa 18:00 na kuendelea
Hapo umechemsha tena kiongozi.
Siku ya Jumanne, Tarehe 26/11/2019.
Nilipanda basi linaoitwa Dar expess iliyokuwa inatokea Rombo, nilipanda Njia panda saa 12:45asbh.
Nikapita hapo Mwenge unaposema saa 8:25mchana.
Nyuma yetu kulikuwa na basi linaloitwa Kapricon.
Njia hiyo hiyo.

Sasa pengine wewe uko Mwenge ya Singida si hii ya Dar....
 
Kwann wanalia wakati treni inaitwa banda la kuku!!!!

Wabongo kwa fitina hamjambo, lakini kwa JPM mtafeli tu labda aje rais mwingine
Screenshot_20191211-225321~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 25 net! kwa nini ililala bila faida? mnajua sababu au mmekurupuka?

sasa je itakuwa endelevu kweli? au changa la macho .tu.

Eti nasikia Hainaga tochi hii ni kweli wadau?
 
Kwa sasa hata mama kimario wa manzese muuza vitumbua ana uhakika wa kwenda kula sikukuu na kunywa mbege moshi na familia yake.



Chagas peoples watamshukuru sana JPM
 
SASA TRENI WAPANDE WENGINE TENA KWA GHARAMA ZAO NA HATA SENTI HUJAWASAIDIA, HALAFU MAUMIVU UPATE WEWE, WASWAHILI BANA!!!!!!

MUDA UNA THAMANI, OKEY SASA MPAKA ANAPANDA HILO TRENI INA MAANA HAJUI LINATUMIA MASAA MANGAPI NJIANI????

PUMBALAFU KABISA...
 
Kiukweli treni ni bonge la adventure utajifunza vingi sana mfano
Grografia ya nch
Mila za watu kimbuka kuna vituo
Aisee mm napaki Nissan ( hard body) nataka nikwee gari moshi ,
Last time nilipanga 1994 nikiwa form six kolila sec
 
Mkuu wengine ni utalii tu hata mimi nitafanya safari ya kwenda Moshi just kuexperience usafiri wa treni,mara ya mwisho kupanda treni ilikuwa mwaka 1984.
Kweli humu tuwe na adabu yaani mwaka mi nazaliwa wewe unapanda treni.shikamoo baba
 
Back
Top Bottom