Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Usisahau atakula mara ngapi kwa masaa hayo na atakunywa mara ngapi? Bila kusahau na muda alioupoteza. Utakuta nauli ni nafuu lakini katumia zaidi ya aliyepanda basi.

"Cheap is expensive".
Faiza leo umeuliza swali la hovyo sana!!

Inamaana usiposafiri hutakula!!?
 
Wale nao wanaolialia Ubungo nauli kuwa juu ni kina nani si nyie wenyewe sasa mmehurumiwa mnaanza hadithi za Rang , vorgue mala takataka , kama huwa unafanya biashara ya mabasi mwezi Decmbr mwaka huu njoo kishumundu tunywe mbege tu
 
Hayo nayo ni mabanda tuu hakuna bus luxury hapo wewe. Ingia kwenye uzi wa Dar lux hapo juu uone hayo makopo unayoyaona ni luxury yanachowafanya watu.

Mkuu uwe unaacha unafiki

Treni la gogo la viti vya chuma na mabati ya aluminum kweli ni luxury?

Luxury level ya mabasi unaishusha mpaka chini kwenye mabanda ya kuku huko kwenye hayo matreni?

Acha unafiki

Najua TZ bila unafiki hatuendi ila wewe umeZidi bwashee

Mkuu,bottom line ni Luxury na Speed

Hivyo ndivyo vita-determine long term survival ya hayo magogo

Na what I see,those magogo cant provide that!

Siku mbili tatu hizi watu watapakia kwa sababu zenu mkizotoa za emotional za “utalii” then hizo emotions zao za “utalii” zikiisha brother treni mnapaki!

Yaani karne hii ya 21 mfanyabiashara una rely na emational reasons za clients kufanya manunuzi?

Nah,you guys dont know what you are doing!

Reality will set in soon!

Hold my beer!
 
Kwahiyo mkuu mabus ya Tanzania yana offer comfortability? Ni mabus gani hayo? Na watanzania wangapi wanayamudu?

Naomba unijibu hili?

Ukishapakia treni hizi za Mjerumani aidha hii ya Moshi au ile ya kwenda Kigoma?

Ya Moshi nilipakia mwaka 1992,tulifika Dar baada ya siku 3!

Comfortability yake,only God knows!

Pakia kati ya hizi treni nilizotaja hapo,then compare speed zake na comfortability zake na mabasi yetu haya ya luxury ya kwenda mikoani

Then njoo hapa toa ushahidi!

Maana unasema hayana comfortability sijui compared to what?
 
Mkuu wengine ni utalii tu hata mimi nitafanya safari ya kwenda Moshi just kuexperience usafiri wa treni,mara ya mwisho kupanda treni ilikuwa mwaka 1984.
Unatalii nini wakati itakuwa Inasafiri zaidi usiku??
 
Hardly ni masaa 13 na nusu tu. Inatoka Dar saa kumi kamili moshi inafika saa 11 na nusu alfajiri. Wakizoea njia itakuwa ni masaa 12 tu tena inatembea usiku.
We jamaa ni mpuuzi. Treni imetumia 19hrs
 
Si kweli.

Ajali nyingi kwa takwimu kabisa duniani kwanza ni magari halafu treni na mwisho kabisa ni ndege. Naweza kukupa ushahidi ukipenda.

Tanzania kuwa wengi hawana uwezo wa usafiri wa ndege, hilo ni sahihi kabisa, lakini, kuhusu gharama za mabasi na treni, hapo bado kuna mashaka. Mimi sijauona urahisi wa kupanda kwa 17,000 ukakaa masaa 17 kufika uendako na ukikata 28,000 ukakaa masaa 8 kwa basi, kwangu bado kuna unafuu kwenye basi kwani kunaokoa muda na matumizi yake ni madogo. Unaweza kustahamili masaa 8 bila matumizi ya chakula lakini ni ngumu zaidi kustahamili masaa 17 bila kula. Labda uwe huna kabisa.

Kuhusu "mabehewa ya mbuzi ya elfu moja na mia nane na" huo ni uongo wako tu.

Mabehewa mapya na reli imekarabatiwa upya.

Mbuzi siku hizi hata ndege wanapakiwa, hilo si ajabu. Pengine wewe hujawahi kupanda ndege lakini kuna mbuzi na ng'ombe wameshaikwaa.

Kuhusi wachagaa hilo nakuwachia wewe uliyeenda kuwapokea biria zaidi ya 200 na kuwaona kati ya wote hao hakukuwa wachagga.

Pole nikupe wewe. Mimi natumia treni miaka yote na ndiyo usafiri wangu wa kwanza kuliko yote. Penye treni hunipandishi gari wala ndege.

Faizafoxy unafeli unapofananisha usafiri wa treni Canada na Tanzania

Baada ya yote,umekubaliana na mimi kabisa kwamba mabasi yanashinda hapa kwa mbali kabisa!

Kuhusu ajali Faizafoxy unafeli

Ajali ya magari haizuii watu kuendelea kutumia magari compared na population inayopakia na kua salama

Na unashindwa kuelewa magari ndio yanatumia na largest population on earth hivyo percentage yake ya kuua watu ni kubwa per capita!

Ingekua population inayotumia magari ni relatively small compared na ile ya usafiri zingine halafu watu wanakufa kwa idadi kubwa zaidi hapo kungekua na tatizo

Idadi ya wapakia ndege na treni worldwide compared na magari ni mbingu na ardhi.Idadi ya population kwenye magari ni way too big

Mabehewa yaliyokarabatiwa,hii ni debate!Kwa kiwango gani?Nobody knows na wewe pia hujui,umebeba neno “kukarabatiwa” na ku-run with it.

Treni zetu ni mabanda ya mbuzi,thats a fact dada!

Ndege wanyama wana special facility huwezi waona kabisa...Treni kwenye behewa hilo hilo kuna uzio umewekwa kwa ajili ya mbuzi

Mkuu tumeshaelewana,mabasi make more long term economic sense,labda waniletee SGR au bullet train kabisa,then hapo no ubishi
 
Nani anasafiri masaa 14?

Kwenda Moshi ni masaa 4-7 full stop!

Na ni luxury coaches na sio vyuma chakavu hivyo!

Leo mmepata abiri kurudi wote wanarudi na mabasi

Nani apakie usenge huo?

Plus leo mmepata 14hrs,next trip ni 24 hrs and then trip ya tatu ni 48hrs

Trip kumi ni gereji moja kwa moja halirudi tena mpaka miaka 24 again!

Fvck yall motherfuckers!

Akili umeziacha wapi mzee?
 
Akili umeziacha wapi mzee?

Kwa maana na wewe una akili?

Una akili mpaka unapata madaraka ya kuuliza akili zangu zipo wapi?

Mr Junior una akili ipi?

Itaje hiyo akili yako hapa na utufanyie proof hivyo akili unayo kweli na ni bora kivipi zaidi ya wanadamu wengine??

Akili zangu ni zangu,wewe unazo zako

Worry about yourself!

Dont worry about akili zisizokuhusu!

Unakua snitch sasa!

Huna kazi za kufanya?
 
Kwa maana na wewe una akili?

Una akili mpaka unapata madaraka ya kuuliza akili zangu zipo wapi?

Mr Junior una akili ipi?

Itaje hiyo akili yako hapa na utufanyie proof hivyo akili unayo kweli na ni bora kivipi zaidi ya wanadamu wengine??

Akili zangu ni zangu,wewe unazo zako

Worry about yourself!

Dont worry about akili zisizokuhusu!

Unakua snitch sasa!

Huna kazi za kufanya?

Tumia akili kupost!

.... ..Ukiona kitu hakikufai usitumie lugha chafu.
 
Tumia akili wewe kupost!

.... ..Ukiona kitu hakikufai usitumie lugha chafu.

Lugha chafu according to wewe!

Where Im from,matusi ni kutoa msisitizo wa point!

Usinishurutishe cha kuandika!

Fanya hivi,ukikuta post yenye matusi wewe iruke endelea na posts zingine!

Simple!

Kuja hapa na kujifanya kufundisha watu wazima how to talk ni stupid move from your part!

Unaelekeza wanadamu wengine jinsi ya kuongea wewe kama nani hasa?

Peleka mamlaka nyumbani kwako

Unaletea mamlaka watu wazima wenzio plus you dont them plus unaweza kuruka comment vilevile!

Hold my beer!
 
Usafiri wa treni haujawahi kupitwa na wakati. Ninadhani bado ni usafiri wa abiria unashikilia namba moja duniani kwa usafiri wa nchi kavu. Nchi zilizoendelea huu ndiyo usafiri wao. Kinachotofautisha wao na sisi ni ubora na teknolojia tu. Aidha, nchi zilizoendelea nusunusu kama India, wao ndiyo wana matreni yamechoka kuliko ya kwetu lakini hayajakoma.

Kwa kifupi, umasikini na utawala mbovu ndiyo unafanya watu wateseke na kuhatarisha usalama kwa kujaza mabasi barabarani ambayo wala hayatoshelezi pakiwa na dharura kama mwisho wa mwaka. Treni pekee kwa nchi zetu ingetibu tatizo hili.
 
Lugha chafu according to wewe!

Where Im from,matusi ni kutoa msisitizo wa point!

Usinishurutishe cha kuandika!

Fanya hivi,ukikuta post yenye matusi wewe iruke endelea na posts zingine!

Simple!

Kuja hapa na kujifanya kufundisha watu wazima how to talk ni stupid move from your part!

Unaelekeza wanadamu wengine jinsi ya kuongea wewe kama nani hasa?

Peleka mamlaka nyumbani kwako

Unaletea mamlaka watu wazima wenzio plus you dont them plus unaweza kuruka comment vilevile!

Hold my beer!
......tumia akili.
 
Back
Top Bottom