Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

Imetumia masaa 19
2019-12-07%2018.39.21.jpeg
 
Yani kabisa nikakae nipige picha ?hahaha sifanyi huo ujinga

Kumbe huna evidence??

Basi tunachukulia kama ni tetesi tu!

Burden ya proof unayo wewe kwetu sisi tusio amini!

Lete hapa tuikague ndio tunaweza amini!
 
Tunarudi nyuma miaka 25. Nimejiuliza yale Mabenzi, Vogue, Wachagga waliokuwa wanayatumia kwenda kwao December yameenda wapi?

Hadi kufikia usafiri wa kizamani namna hii?

View attachment 1284152
Ni mawazo yako,ni utalii pia hata Mimi nilitamani Sana ili nione mandhari ya nchi yetu.Pia itawasaidia wengi kurudi home kwa nafuu,pia ni rahisi kuzamia kwenye treni kama huna nauli kuliko basi.
 
Ni mawazo yako,ni utalii pia hata Mimi nilitamani Sana ili nione mandhari ya nchi yetu.Pia itawasaidia wengi kurudi home kwa nafuu,pia ni rahisi kuzamia kwenye treni kama huna nauli kuliko basi.

Utaliii?

Nauli ndogo unafika baada ya 16hrs?

Really?

Kuna commercial progress hapo in a long run?

Utalii ukiisha then?

Ishu hapa ni 16hrs na ubovu na uzamani wa matreni hayo!

Niache kukaa kwenye kochi na full entertainment zote halafu ni 8hrs nafika Moshi nikapakie banda la mbuzi kwa 16hrs?

You gotta be serious!
 
And who is boarding that shitty garbage of a rugged ass locomotive?

Thats piece of crap!

Mkuu tuongelee real problems za usafiri nchi hii na tuache hizi sanaa za haya magogo kujitafutia umaarufu wa kipumbavu

Maana commercially that train dont make any profit!

Do not make any economic sense at all!

Hii nchi ni total welfare state

Na kwa mawazo yako unafikiri bullet train ndio ita make profit? Hivi mkuu unajua hata bullet train ni nini na ni nchi ngapi duniani zina hiyo kitu au unadhihirisha ujinga wako tu hapa na vimatusi uchwara uljvyojifunza kwenye movies?
 
Utaliii?

Nauli ndogo unafika baada ya 16hrs?

Really?

Kuna commercial progress hapo in a long run?

Utalii ukiisha then?

Ishu hapa ni 16hrs na ubovu na uzamani wa matreni hayo!

Niache kukaa kwenye kochi na full entertainment zote halafu ni 8hrs nafika Moshi nikapakie banda la mbuzi kwa 16hrs?

You gotta be serious!

Na hayo mabasi ya luxury unayoyasifia ni yapi? Hapa Tanzania kuna bus la luxury? Lipi hilo? Mkuu unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo na exposure ndogo bora unyamaze tuu. Eti full entertainment.. kuna bus lenye full intertainment bongo..??🤣🤣
 
Sio wote wanaoweza nauli ya bus
 
Leo hii nimepakia dogo ameenda moshi, wamefika saa tisa , bus imeondoka saa KUMI NA NUSU usiku/alfajiri...(mabus yanayopak nje ya stand)...hakuna bus ya kuondoka saa 6:00 ikafika huko muda huo, labda iwe ya Magu

Arusha ufike saa nane that means moshi umepita saa saba ... Thubutu...hii ilikua inawezekana kabla ya tochi tu
Sawa mkuu.
Umeshinda.
 
Kweni kuna mtu amelazimisha mpande treni? Si kuna njia nyingine za usafiri? Sasa watu mnatokwa mapovu ya nini?
Kila mtu ana haki ya kufanya anachokipenda sasa iweje nyie muwaone wanaopanda treni wajinga?
Kweni mnawasaidia kwa lolote?
Achani kujifanya wajuaji bhana
Si tun Ndege kiongozi?
Boing na Airbus?
Au sio za wanyonge
 
Wewe Ndio mshamba tren zipo kila Nchi Duniani

Masaa 16 hadi Moshi kwa elfu kumi na sita hapo abiria ana save zaidi ya elfu 15

Acheni kujifanya nyie mna jua sana

Usisahau atakula mara ngapi kwa masaa hayo na atakunywa mara ngapi? Bila kusahau na muda alioupoteza. Utakuta nauli ni nafuu lakini katumia zaidi ya aliyepanda basi.

"Cheap is expensive".
 
Mada hii imenifanya nijue wapinzani wa Mh Rais magufuli ni wa aina ila nikakumbuka kauli moja Rais magufuli amewahi kuisema yaan adui hata mvua kama inanyesha ukipita mbele yake atasema unamtimulia vumbi baada ya reli kukamilika kwa matengenezo sasa mmekuja suala la muda kwa kusahau kuwa Tuko soko hulia utakuwa ni uamuzi wako wewe wapo ambao kusave iyo elfu kumi na tano ni bora zaidi kuliko huo muda unaona wewe utakao upoteza hivyo kila mtu inategemea na kipaumbele gani kwenye maisha ya kati ya muda na fedha
Fikiria basi hata kidogo mkuu.
Inawezekana umekaa darasani kidogo.
Unajua niliimbishwa definition ya neno Development na mwalimu wangu.

Usijaribu kusifia aina hii ya treni very old. Useme ni Maendeleo... Dunia sasa inaingia kwenye technology kubwa... Artificial intelligence... Nyie bado mnashangilia mambo yaliyopitwa na wakati.

Halafu unasema ni maendeleo.
 
Usisahau atakula mara ngapi kwa masaa hayo na atakunywa mara ngapi? Bila kusahau na muda alioupoteza. Utakuta nauli ni nafuu lakini katumia zaidi ya aliyepanda basi.

"Cheap is expensive".
Na kuchoka kwingi.. 19hours!!
 
Unasafiri KM 600 tu!!
Kwa masaa 19!!
 
Na hayo mabasi ya luxury unayoyasifia ni yapi? Hapa Tanzania kuna bus la luxury? Lipi hilo? Mkuu unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo na exposure ndogo bora unyamaze tuu. Eti full entertainment.. kuna bus lenye full intertainment bongo..??🤣🤣

Mnafiki wewe!

Basi luxury unafananisha na hayo mabanda ya mbuzi?

Punguza unafiki
 
Sio wote wanaoweza nauli ya bus

Basi ni 30,000/=

Treni ya mabanda ya mbuzi ni 15,000/=

Unatoa 30,000/= unawahi kufika nusu ya muda wa hilo banda la mbuzi!

Win win

Who cares about mabanda ha mbuzi yenye kula muda as twice?

Punguzeni unafiki aisee
 
"Ukitoa uhai/pumzi kitu kingine chenye THAMANI ni muda hapa duniani" Pascal Mayalla December 2019
- kwahiyo binafsi yangu siwezi itumia hiyo train kuanzia 1600 hadi next day 1100.
Ni ulimbukeni na upotezaji wa muda nitapanda bus tu.
Imetumia Saa 19 njiani!!
 
Back
Top Bottom